Hii Hapa Sababu ya Obama Kutokwa na machozi

Hii Hapa Sababu ya Obama Kutokwa na machozi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Hii Hapa Sababu ya Obama Kutokwa na machozi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Hii Hapa Sababu ya Obama Kutokwa na machozi
kiungo : Hii Hapa Sababu ya Obama Kutokwa na machozi

soma pia


Hii Hapa Sababu ya Obama Kutokwa na machozi

Hii Hapa Sababu ya Obama Kutokwa na machozi
Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amesema kuwa hakuweza kuzuia machozi yake alipomfikisha mwanawe mkubwa Malia katika chuo kikuu.
Ilikuwa kama ''upasuaiji uliofanyika hadharani'', rais huyo wa zamani alizungumzia kuhusu wakati alipomfikisha Malia katika chuo kikuu cha Harvard.
''Nilifurahi kwamba sikububujikwa na machozi mbele yake'', alisema bwana Obama.
''Lakini nilipokuwa nikirudi, maafisa wa jinai hawakuwepo nikaangalia mbele nikijifanya kwamba hawanisikii nikinungunika na kufuta pua yangu.Ilikuwa vigumu''.
Bwana Obama alielezea wakati huo siku ya Jumatatu wakati wa hafla ya wakfu wa Beau Biden. Shirika hilo la kusaidia jamii lilianzisha kwa heshima ya mwana{marehemu} wa aliyekuwa makamu wa rais Joe Biden
''Mwisho wa maisha yetu chochote kile ambacho utakuwa umefanikiwa, ambayo tutayakumbuka ni maisha mazuri ya wana wetu na baadaye kile kitakacholetwa na wajukuu zetu'', alisema Obama.
Obama anunua nyumba ya kuishi Washington
Wanadiplomasia wa Urusi waliofurushwa Marekani waondoka
Bintiye Obama afanya kazi mgahawani
Sasha Obama amcheka babake kwenye Snapchat
Malia mwenye umri wa miaka 19 aliamua kujiunga na chuo kikuu cha Harvard baada ya kupumzika kwa mwaka mmoja baada ya kukamilisha elimu ya shule za upili.
Bwana Obama mara kwa mara amekuwa akizungumza kuhusu umuhimu wa kuwa baba kwa wanawe.
''Katika mambo yote ambayo nimefanya nafurahia kuwa baba yenu'',aliwaambia wanawe wakati wa hutuba yake ya miwisho akiwa rais 


Hivyo makala Hii Hapa Sababu ya Obama Kutokwa na machozi

yaani makala yote Hii Hapa Sababu ya Obama Kutokwa na machozi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Hii Hapa Sababu ya Obama Kutokwa na machozi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/hii-hapa-sababu-ya-obama-kutokwa-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Hii Hapa Sababu ya Obama Kutokwa na machozi"

Post a Comment