title : Dogo Janja Atimiza Ndoto yake Kwa Kukutana na Alikiba
kiungo : Dogo Janja Atimiza Ndoto yake Kwa Kukutana na Alikiba
Dogo Janja Atimiza Ndoto yake Kwa Kukutana na Alikiba
Msanii wa Bongo Flava kutoka kundi la Tip Top Connection, Dogo Janja hatimaye amefanikiwa kutimiza moja ya ndoto yake.
Dogo Janja anayehit na ngoma ya ‘Ngarenaro’ amefunguka hayo baada ya kukutana na mkali wa ‘Seduce Me’, Alikiba na kupiga naye picha.
“Alhamdulilah leo nimetimiza ndoto yangu ingine yakupiga picha na alikiba @officialalikiba #Ngarenaro Link In My Bio,” ameandika Jajaro baada ya kukutana na Alikiba jijini Arusha.
Alikiba na Dogo Janja ni moja ya wasanii watakoshambulia jukwaa la muziki la Fiesta linalotarajiwa kuanza rasmi katika Mkoa wa Arusha hapo kesho Jumamosi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
Hivyo makala Dogo Janja Atimiza Ndoto yake Kwa Kukutana na Alikiba
yaani makala yote Dogo Janja Atimiza Ndoto yake Kwa Kukutana na Alikiba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Dogo Janja Atimiza Ndoto yake Kwa Kukutana na Alikiba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/dogo-janja-atimiza-ndoto-yake-kwa.html
0 Response to "Dogo Janja Atimiza Ndoto yake Kwa Kukutana na Alikiba"
Post a Comment