DAWASA YAKABIDHI VYOO KWA WAKAZI WA VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM

DAWASA YAKABIDHI VYOO KWA WAKAZI WA VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DAWASA YAKABIDHI VYOO KWA WAKAZI WA VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DAWASA YAKABIDHI VYOO KWA WAKAZI WA VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : DAWASA YAKABIDHI VYOO KWA WAKAZI WA VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


DAWASA YAKABIDHI VYOO KWA WAKAZI WA VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM

Mhandisi wa Maji toka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Gratius Haule (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa vyoo katika Mtaa wa Mji Mpya Kata ya Vingunguti, vyoo hivyo vimejengwa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka jijini Dar es Salaam (DAWASA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Cambridge Development Initiative (CDI).
Mhandisi wa Maji toka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Gratius Haule akisisitiza jambo kwa wakazi wa Mtaa wa Mji Mpya Kata ya Vingunguti (hawapo pichani) wakati wa sherehe za kukabidhi vyoo kwa baadhi ya wakazi hao ambavyo vimejengwa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka jijini Dar es Salaam (DAWASA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Cambridge Development Initiative (CDI) mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wananchi wa Mtaa wa Mji Mpya Kata ya Vingunguti wakimsikiliza Mhandisi wa Maji toka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Gratius Haule wakati wa sherehe za kukabidhi vyoo kwa baadhi ya wakazi hao ambavyo vimejengwa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka jijini Dar es Salaam (DAWASA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Cambridge Development Initiative (CDI) mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi na Mwanzilishi wa Taasisi Bridge for Change Bw. Ocheck Msuva akifafanua jambo kwa wakazi wa Mtaa wa Mji Mpya Kata ya Vingunguti (hawapo pichani) wakati wa sherehe za kukabidhi vyoo kwa baadhi ya wakazi hao ambavyo vimejengwa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka jijini Dar es Salaam (DAWASA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Cambridge Development Initiative (CDI) mapema hii leo jijini Dar es Salaam.



Hivyo makala DAWASA YAKABIDHI VYOO KWA WAKAZI WA VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote DAWASA YAKABIDHI VYOO KWA WAKAZI WA VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DAWASA YAKABIDHI VYOO KWA WAKAZI WA VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/dawasa-yakabidhi-vyoo-kwa-wakazi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DAWASA YAKABIDHI VYOO KWA WAKAZI WA VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment