title : CHINA NI RAFIKI WA KWELI WA TANZANIA ,YASAIDIA KUKARABATI UWANJA WA MPIRA. CHUO CHA UTALII.
kiungo : CHINA NI RAFIKI WA KWELI WA TANZANIA ,YASAIDIA KUKARABATI UWANJA WA MPIRA. CHUO CHA UTALII.
CHINA NI RAFIKI WA KWELI WA TANZANIA ,YASAIDIA KUKARABATI UWANJA WA MPIRA. CHUO CHA UTALII.
Balozi wa china nchini Tanzania anaye maliza muda wake China ,Dk. Lu Youqing akizungumza katika na kukabidhi uwanja wa chuo cha taifa cha utalii Tandika jijini dar es salaam. (picha zote na Camera ya Mwambawahabari)Mkuu wa mkoa wa Dar esa salaam mhe.Paul Makonda akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa uwanja wa chuocha Utalii ulioko Tandika jijini Dar es salaam. ambapo ameishukuru serikali ya china kwa msaadahuo na kupongeza urafiki baina ya Tanzania na China ambao uliasisiwa na waasisi wa mataifa hayo . (picha zote na Camera ya Mwambawahabari)
Balozi wa China ,Dk. Lu Youqing akikaba mpira kwa mkuu wa mkoa mhe.Paul Makonda katika uwanja wa Chuo cha utalii uliokuwa ukijulikana kwa jina la uwanja bandari wakati makabidhiano ya uwanja huo na Mkuu wa Dar es Salaam.
Hivyo makala CHINA NI RAFIKI WA KWELI WA TANZANIA ,YASAIDIA KUKARABATI UWANJA WA MPIRA. CHUO CHA UTALII.
yaani makala yote CHINA NI RAFIKI WA KWELI WA TANZANIA ,YASAIDIA KUKARABATI UWANJA WA MPIRA. CHUO CHA UTALII. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CHINA NI RAFIKI WA KWELI WA TANZANIA ,YASAIDIA KUKARABATI UWANJA WA MPIRA. CHUO CHA UTALII. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/china-ni-rafiki-wa-kweli-wa-tanzania.html
0 Response to "CHINA NI RAFIKI WA KWELI WA TANZANIA ,YASAIDIA KUKARABATI UWANJA WA MPIRA. CHUO CHA UTALII."
Post a Comment