BUSWITA RUKSA KUCHEZA YANGA, ATAKIWA KUILIPA SIMBA MILIONI 10

BUSWITA RUKSA KUCHEZA YANGA, ATAKIWA KUILIPA SIMBA MILIONI 10 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BUSWITA RUKSA KUCHEZA YANGA, ATAKIWA KUILIPA SIMBA MILIONI 10, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BUSWITA RUKSA KUCHEZA YANGA, ATAKIWA KUILIPA SIMBA MILIONI 10
kiungo : BUSWITA RUKSA KUCHEZA YANGA, ATAKIWA KUILIPA SIMBA MILIONI 10

soma pia


BUSWITA RUKSA KUCHEZA YANGA, ATAKIWA KUILIPA SIMBA MILIONI 10

Kamati ya Sheria katiba na hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania TFF wamemfungulia adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja iliyokua inamkabili mchezaji Pius Buswita ambaye alifungiwa kutokana na kusaini mikataba miwili na timu za Yanga na Simba.

Katika mkutano wake na waandishi wa habari asubuhi ya leo Mwenyekiti wa kamati hiyo Wakili Elias Mwanjala amesema Simba,Yanga na Mchezaji mwenyewe wamekubaliana Pius Buswita alipe pesa alizochukua katika klabu ya Simba wakati akisaini mkataba wa makubaliano ya kuichezea klabu hiyo.

Wakili Mwanjala amesema kilichofanywa na klabu hizo mbili ni busara tu ili kumpa nafasi mchezaji huyo acheze kinyume cha hapo mchezaji huyo angeendelea kutumikia adhabu yake na walichokitaka Simba wao ni kulipwa tu pesa zao ili kuondoa lalamiko hilo na mchezaji mwenyewe ameahidi mbele ya kamati kwamba atalipa.

Kiasi cha milioni 10 pamoja na gharama zingine ikiwa ni pamoja na usafiri na malazi ambazo kwa pamoja zinafikia milioni 1 ndizo zilizotajwa na Simba kwenye barua yao waliyoiwasilisha TFF na ndicho kiasi ambacho Yanga na mchezaji wameahidi kulipa na kamati imetoa onyo kali la kimaandishi kwa mchezaji huyo na ataruhusiwa kucheza tu iwapo Simba watathibitisha kulipwa pesa zao.

Buswita mchezaji wa zamani wa Mbao FC ya Mwanza alijikuta akifungiwa na shirikisho la soka nchini baada ya kusajiliwa na Yanga huku pia akiwa amesaini mkataba na Simba.


Hivyo makala BUSWITA RUKSA KUCHEZA YANGA, ATAKIWA KUILIPA SIMBA MILIONI 10

yaani makala yote BUSWITA RUKSA KUCHEZA YANGA, ATAKIWA KUILIPA SIMBA MILIONI 10 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BUSWITA RUKSA KUCHEZA YANGA, ATAKIWA KUILIPA SIMBA MILIONI 10 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/buswita-ruksa-kucheza-yanga-atakiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BUSWITA RUKSA KUCHEZA YANGA, ATAKIWA KUILIPA SIMBA MILIONI 10"

Post a Comment