title : BREAKING NEWZZ: Viongozi wanne wa CUF wamefariki kwenye ajali wakitokea Dodoma
kiungo : BREAKING NEWZZ: Viongozi wanne wa CUF wamefariki kwenye ajali wakitokea Dodoma
BREAKING NEWZZ: Viongozi wanne wa CUF wamefariki kwenye ajali wakitokea Dodoma
Stori iliyonifikia asubuhi hii ya Jumatano September 6, 2017 ni kwamba Viongozi wanne wa Chama cha Wananchi CUF wanaomuunga mkono Profesa Ibrahim Lipumba wamefariki dunia baada ya msafara wao kupata ajali maeneo ya Ubenazomozi Mkoa wa Pwani.
Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati Viongozi hao wakitokea Dodoma kwenye sherehe za kuapishwa kwa Wabunge wapya wa Chama hicho baada ya gari lao kugongana na Lori.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Habari wa CUF Abdallah Kambaya Viongozi waliofariki ni kutoka Wilaya ya Muheza, Tanga ambapo miongoni mwao ni Mgombea Udiwani wa Muheza Mjini, aliyefahmika kwa jina moja Uredi.
Aidha, idadi ya majeruhi haijajulikana ila ni hawazidi 10 na baadhi yao wapo Hospital ya Tumbi huku akisema chanzo cha ajali hiyo ni gari la wafuasi hao kugongana na lori.
Lewis Mbonde Tv na Lewis Mbonde Blog zinafuatilia na zitakujuza
Hivyo makala BREAKING NEWZZ: Viongozi wanne wa CUF wamefariki kwenye ajali wakitokea Dodoma
yaani makala yote BREAKING NEWZZ: Viongozi wanne wa CUF wamefariki kwenye ajali wakitokea Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWZZ: Viongozi wanne wa CUF wamefariki kwenye ajali wakitokea Dodoma mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/breaking-newzz-viongozi-wanne-wa-cuf.html
0 Response to "BREAKING NEWZZ: Viongozi wanne wa CUF wamefariki kwenye ajali wakitokea Dodoma"
Post a Comment