Bodi ya chakula dawa na vipodozi yaangamiza chakula aina ya Soseji zilizokwisha muda wake

Bodi ya chakula dawa na vipodozi yaangamiza chakula aina ya Soseji zilizokwisha muda wake - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Bodi ya chakula dawa na vipodozi yaangamiza chakula aina ya Soseji zilizokwisha muda wake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Bodi ya chakula dawa na vipodozi yaangamiza chakula aina ya Soseji zilizokwisha muda wake
kiungo : Bodi ya chakula dawa na vipodozi yaangamiza chakula aina ya Soseji zilizokwisha muda wake

soma pia


Bodi ya chakula dawa na vipodozi yaangamiza chakula aina ya Soseji zilizokwisha muda wake

 Wafanyakazi wa Bodi ya Chakula Dawa na Vipodozi wakiteremsha boksi za Chakula aina ya Soseji zilizokwisha muda wake kwa ajili ya kuangamizwa baada ya kugundulika katika Ghala la chakula linalomilikiwa na Kampuni ya Best Inmport Maruhubi na wakaguzi ,Kibele Wilaya ya Kusini Unguja.
 Chakula aina ya Soseji zilizokwisha muda wake zikiwa zimekusanya kwa ajili ya kuangamizwa baada ya kugundulika katika Ghala la chakula linalomilikiwa na Kampuni ya Best Inmport Maruhubi na wakaguzi ,Kibele Wilaya ya Kusini Unguja
 Mkuu wa kitengo cha Ufatiliaji madhara ya Chakula Aisha Suleiman akizungumza na Waandishi wa Habari katika zoezi la kuangamiza Chakula aina ya Soseji zilizokwisha muda wake na kwamba hazifai kutumiwa na maisha ya Binaadamu ,Kibele Wilaya ya Kusini Unguja.

Mkaguzi wa Chakula Bi Amina Ramadhan Salim akizungumza na Waandishi wa Habari katika zoezi la kuangamiza Chakula aina ya Soseji zilizokwisha muda wake na kwamba hazifai kutumiwa na maisha ya Binaadamu ,Kibele Wilaya ya Kusini Unguja.

Chakula aina ya Soseji zilizokwisha muda wake zikisangwa na baadae kufukiwa baada ya kugundulika kua hazifai kutumiwa na maisha ya Binaadamu ,Kibele Wilaya ya Kusini Unguja.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala Bodi ya chakula dawa na vipodozi yaangamiza chakula aina ya Soseji zilizokwisha muda wake

yaani makala yote Bodi ya chakula dawa na vipodozi yaangamiza chakula aina ya Soseji zilizokwisha muda wake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Bodi ya chakula dawa na vipodozi yaangamiza chakula aina ya Soseji zilizokwisha muda wake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/bodi-ya-chakula-dawa-na-vipodozi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Bodi ya chakula dawa na vipodozi yaangamiza chakula aina ya Soseji zilizokwisha muda wake"

Post a Comment