title : Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Mhe. Batilda Masuka awasili kituo chake cha kazi
kiungo : Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Mhe. Batilda Masuka awasili kituo chake cha kazi
Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Mhe. Batilda Masuka awasili kituo chake cha kazi
Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Mhe. Batilda Masuka (mwenye maua) akiwa na u8ongozi wa Watanzania Korea wakiongozwa na Mwenyekiti wao Mkurugenzi wa Namtho Trading Bw Othman Hailey, Katibu wa watanzania Korea Bi Debora na Mjumbe Bi Isebella Katondo Pamoja na Afisa Balozi Bw John Kambona baada ya kuwasili Kituo cha Kazi cha kazi Korea ya Kusini.
Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Watanzania Korea Bw Othman Hailey, Afisa Balozi Japan John Kambona Balozi Batilda Masuka na Katibu wa Tanzania Korea Bi Debora mara tu baada Balozi kuwasili ili kuanya Mahojiano na magazini ya Korean Post.
Hivyo makala Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Mhe. Batilda Masuka awasili kituo chake cha kazi
yaani makala yote Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Mhe. Batilda Masuka awasili kituo chake cha kazi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Mhe. Batilda Masuka awasili kituo chake cha kazi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/balozi-wa-tanzania-nchini-korea-kusini.html
0 Response to "Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Mhe. Batilda Masuka awasili kituo chake cha kazi"
Post a Comment