BAADA YA POLISI KUMALIZA MAHOJIANO YA MANJI NA WENZAKE WATATU,WAREJESHWA MAHAKAMANI KUENDELEA NA KESI YAO

BAADA YA POLISI KUMALIZA MAHOJIANO YA MANJI NA WENZAKE WATATU,WAREJESHWA MAHAKAMANI KUENDELEA NA KESI YAO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BAADA YA POLISI KUMALIZA MAHOJIANO YA MANJI NA WENZAKE WATATU,WAREJESHWA MAHAKAMANI KUENDELEA NA KESI YAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BAADA YA POLISI KUMALIZA MAHOJIANO YA MANJI NA WENZAKE WATATU,WAREJESHWA MAHAKAMANI KUENDELEA NA KESI YAO
kiungo : BAADA YA POLISI KUMALIZA MAHOJIANO YA MANJI NA WENZAKE WATATU,WAREJESHWA MAHAKAMANI KUENDELEA NA KESI YAO

soma pia


BAADA YA POLISI KUMALIZA MAHOJIANO YA MANJI NA WENZAKE WATATU,WAREJESHWA MAHAKAMANI KUENDELEA NA KESI YAO

Na Karama Kenyunko, blogu ya Jamii.

Baada ya jeshi la Polisi kumaliza mahojiano yao dhidi ya mshtakiwa  Yusuf Manji na wenzake watatu juu ya tuhuma zinazowakabili za uhujumu uchumi, mapema leo wamemkabidhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kama ilivyoamriwa Jana.

Mbali na Manji ambaye ni mfanyabiashara maarufu nchini, washitakiwa wengine waliokabidhiwa ni Meneja Rasilimali watu wa Kampuni ya Quality Group Ltd, Deogratius Kisinda, Mtunza stoo, Abdallah Sangey na Thobias Fwere.
 
Akiwakabidhi watuhimiwa hao, wakili wa serikali mwandamizi, Mutalemwa Kishenyi amemueleza Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi kuwa washtakiwa hao wamerudishwa mahakamani kama ilivyoamuriwa, baada ya polisi kumaliza kuwahoji.
Baada ya washtakiwa kukabidhiwa wakiwa salama na afya zao nzuri, Hakimu Shaidi alisema kesi hiyo itaendelea na utaratibu kama ulivyokuwa awali, ambapo itatajwa September 8/2017.

Jana mchana mahakama hiyo iliruhusu Manji na wenzake kwenda kuhojiwa na Polisi  ili kukamilisha upelelezi katika kesi ya uhujumu uchumi.


Hivyo makala BAADA YA POLISI KUMALIZA MAHOJIANO YA MANJI NA WENZAKE WATATU,WAREJESHWA MAHAKAMANI KUENDELEA NA KESI YAO

yaani makala yote BAADA YA POLISI KUMALIZA MAHOJIANO YA MANJI NA WENZAKE WATATU,WAREJESHWA MAHAKAMANI KUENDELEA NA KESI YAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BAADA YA POLISI KUMALIZA MAHOJIANO YA MANJI NA WENZAKE WATATU,WAREJESHWA MAHAKAMANI KUENDELEA NA KESI YAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/baada-ya-polisi-kumaliza-mahojiano-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BAADA YA POLISI KUMALIZA MAHOJIANO YA MANJI NA WENZAKE WATATU,WAREJESHWA MAHAKAMANI KUENDELEA NA KESI YAO"

Post a Comment