ASKARI POLISI AUA MKE KWA RISASI KISHA NAYE KUJIUA

ASKARI POLISI AUA MKE KWA RISASI KISHA NAYE KUJIUA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ASKARI POLISI AUA MKE KWA RISASI KISHA NAYE KUJIUA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ASKARI POLISI AUA MKE KWA RISASI KISHA NAYE KUJIUA
kiungo : ASKARI POLISI AUA MKE KWA RISASI KISHA NAYE KUJIUA

soma pia


ASKARI POLISI AUA MKE KWA RISASI KISHA NAYE KUJIUA

Askari Polisi Stephen Mungai Kinuthia wa jimbo la Nakuru nchini Kenya, amemuuwa mkewe kwa kumpiga risasi kichwani na kisha kujiua mwenyewe mbele ya mtoto wao ambaye alishuhudia tukio zima.

Kinuthia ambaye alikuwa skari polisi wa kituo cha Molo, amempiga risasi mpenzi wake huyo mara tatu kwa kutumia bunduki ya AK47 wakiwa nyumbani kwao.

Shuhuda wa tukio hilo ambaye ni mlinzi wa eneo hilo amesema walisikia kelele za watu wakilumbana, na walipokuwa wakikimbilia kujua kulikoni walisikia milio ya risasi na kisha kukawa na ukimya.

Majirani wa eneo hilo wamesema walisikia kelele za mtoto akilia kwa sauti huku akisema baba anamuuwa mama.

OCPD wa Nakuru Joshua Omukatta amesema wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo, huku miili ya marehemu wote ikiwa imepelekwa katika hospitali ya serikali ya Nakuru


Hivyo makala ASKARI POLISI AUA MKE KWA RISASI KISHA NAYE KUJIUA

yaani makala yote ASKARI POLISI AUA MKE KWA RISASI KISHA NAYE KUJIUA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ASKARI POLISI AUA MKE KWA RISASI KISHA NAYE KUJIUA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/askari-polisi-aua-mke-kwa-risasi-kisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ASKARI POLISI AUA MKE KWA RISASI KISHA NAYE KUJIUA"

Post a Comment