title : Ali Kiba Afunguka Picha Zilizovuja Mtandaoni Akiwa na Mrembo Kitandani
kiungo : Ali Kiba Afunguka Picha Zilizovuja Mtandaoni Akiwa na Mrembo Kitandani
Ali Kiba Afunguka Picha Zilizovuja Mtandaoni Akiwa na Mrembo Kitandani
BAADA ya picha kadhaa kutembea katika mitandao ya kijamii ikimuonesha Ali Kiba akiwa na mrembo mmoja picha ikionesha wakiwa kitandani.
Watu walianza kudai kuwa mrembo huyo atakuwa mpenzi wake mpya lakini Ali Kiba amekanusha suala hilo na kusihi mitandao ya kijamii watu kuitumia vizuri.
Baadhi ya vyanzo vinasema kuwa mrembo huyo ni Dada yake na H-Baba ambae ni shabiki mkubwa wa Ali Kiba na picha ilipigwa wakati Ali Kiba akiwa Mwanza na picha kusema kuwa ilipigwa eneo la mapokezi ambapo wasanii wengi walifikia kwaajili ya tamasha la Fiesta.
“Ni ujinga tu, kwanza pale watu wanaona ni kama kwenye mapokezi,sema kwa sababu watu wameamua kuongea acha waongee lakini katika hilo wanalofikiria hakuna ukweli wowote,” alisema Ali Kiba.
Hivyo makala Ali Kiba Afunguka Picha Zilizovuja Mtandaoni Akiwa na Mrembo Kitandani
yaani makala yote Ali Kiba Afunguka Picha Zilizovuja Mtandaoni Akiwa na Mrembo Kitandani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ali Kiba Afunguka Picha Zilizovuja Mtandaoni Akiwa na Mrembo Kitandani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/ali-kiba-afunguka-picha-zilizovuja.html
0 Response to "Ali Kiba Afunguka Picha Zilizovuja Mtandaoni Akiwa na Mrembo Kitandani"
Post a Comment