title : AFYABANDO KAMPENI KUWAKOMBOA WATANZANIA
kiungo : AFYABANDO KAMPENI KUWAKOMBOA WATANZANIA
AFYABANDO KAMPENI KUWAKOMBOA WATANZANIA
Mtaalam Mwelekezi wa Afyabando-Nordic Foundation Tanzania, Dkt. Respicius Salvatory akiongea na waandishi wa habari Dar es Salaam leo Septemba 3 2017, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya kujishindia kadi ya bima ya Afya ijulikanayo kama ‘AfyaBando’. Kulia ni Afisa Mwandamizi Mipango na Utawala wa Taasisi ya Nordic, Maria Nimrod na Afisa Tehama wa Taasisi hiyo, Dickson Leonard. Afisa Mwandamizi Mipango na Utawala wa Taasisi ya Nordic, Maria Nimrod akifafanua jambo kwa waandishi wa habari Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya kujishindia kadi ya bima ya Afya ijulikanayo kama ‘AfyaBando’. Pamoja naye ni Mtaalam Mwelekezi wa Afyabando-Nordic Foundation Tanzania, Dkt. Respicius Salvatory (wa pili kulia) , Afisa Tehama wa Taasis hiyo, Dicson Leonard Afisa Afya na Teddy Uledi. KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA |
Hivyo makala AFYABANDO KAMPENI KUWAKOMBOA WATANZANIA
yaani makala yote AFYABANDO KAMPENI KUWAKOMBOA WATANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala AFYABANDO KAMPENI KUWAKOMBOA WATANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/afyabando-kampeni-kuwakomboa-watanzania.html
0 Response to "AFYABANDO KAMPENI KUWAKOMBOA WATANZANIA"
Post a Comment