title : Afya :Cuba yaipongeza Muhimbili kwa kutoa huduma bora
kiungo : Afya :Cuba yaipongeza Muhimbili kwa kutoa huduma bora
Afya :Cuba yaipongeza Muhimbili kwa kutoa huduma bora
Balozi wa Cuba nchini Tanzania, Profesa Lucas Domingo Hernandez Polledo akizungumza na baadhi ya wakurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wakati akiitembelea leo. Kushoto ni Mratibu wa madaktari wa Cuba nchini, Dk Maylen Lopez. Kutoka kushoto wa tatu ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu Muhimbili, Makwaia Makani, Mkurugenzi wa Upasuaji, Dk. Julieth Magandi, ofisa Idara ya ufundi, Mkurugenzi wa Tiba, Dk. Hedwiga Swai, Mkurugenzi Mtendaji, Profesa Lawrence Museru na Mkurugenzi wa Ufundi, Gaudence Aksante.
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akizungumza na Balozi wa Cuba nchini, Profesa Lucas Domingo Hernandez Polledo. Kulia ni Mkurugenzi wa Ufundi, Gaudence Aksante.
Balozi wa Cuba nchini, Profesa Lucas Domingo Hernandez Polledo akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili, Profesa Museru kabla ya kutembelea maeneo ya kutoa huduma katika hospitali hiyo.
Balozi wa Cuba na baadhi ya wafanyakazi wa hospitali hiyo wakiwa katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU).
Ujumbe kutoka Ubalozi wa Cuba ukiwa katika chumba cha upasuaji Muhimbili.
Baadhi ya wakurugenzi wa Muhimbili wakiwa katika picha ya pamoja na ubalozi wa Cuba baada ya kuitembelea hospitali hiyo.
Hivyo makala Afya :Cuba yaipongeza Muhimbili kwa kutoa huduma bora
yaani makala yote Afya :Cuba yaipongeza Muhimbili kwa kutoa huduma bora Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Afya :Cuba yaipongeza Muhimbili kwa kutoa huduma bora mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/afya-cuba-yaipongeza-muhimbili-kwa.html
0 Response to "Afya :Cuba yaipongeza Muhimbili kwa kutoa huduma bora"
Post a Comment