Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Wilaya ya Mkoani Pemba leo.

Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Wilaya ya Mkoani Pemba leo. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Wilaya ya Mkoani Pemba leo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Wilaya ya Mkoani Pemba leo.
kiungo : Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Wilaya ya Mkoani Pemba leo.

soma pia


Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Wilaya ya Mkoani Pemba leo.

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wazee na Viongozi wa CCM alipowasili Kijiji cha Milimuni Chokocho kuweka Jiwe la Msingi tawi la CCM Kijijini hapo leo  akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuliweka jiwe la msingi Tawi la CCM Milimuni Kijiji cha Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM alipoweka jiwe la msingi Tawi la CCM Milimuni Kijiji cha Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo, [Picha na Ikulu.] 24/08/2017.


Hivyo makala Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Wilaya ya Mkoani Pemba leo.

yaani makala yote Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Wilaya ya Mkoani Pemba leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Wilaya ya Mkoani Pemba leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/ziara-ya-rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti_24.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Wilaya ya Mkoani Pemba leo."

Post a Comment