title : YANGA YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA LIPULI, ZATOKA SARE YA BAO 1-1 UWANJA WA UHURU LEO
kiungo : YANGA YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA LIPULI, ZATOKA SARE YA BAO 1-1 UWANJA WA UHURU LEO
YANGA YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA LIPULI, ZATOKA SARE YA BAO 1-1 UWANJA WA UHURU LEO
Kiungo wa Yanga, Thaban Kamusoko akichezewa rafu na Beki wa Lipuli, Novalty Lufung, wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. mchezo huo umemalizika kwa sare ya bao 1-1.
Malimi Busungu wa Lipuli Fc, akimdhibiri Kiungo mkabaji wa Yanga, Papy Tshishimbi wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. mchezo huo umemalizika kwa sare ya bao 1-1.
Beki wa Timu ya Lipuli, Asante Kwasi akiwa chini huku akiusindikiza mpira kwa macho baada ya kupigwa chenga ya mwili na Juma Abdul wa Yanga, wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. mchezo huo umemalizika kwa sare ya bao 1-1.
Beki wa Yanga, Kelvin Yondani na Mshambuliaji wa timu ya Lipuli, Ramadhan Madebe wakiruka juu kwa pamoja kuwania mpira wa juu, wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. mchezo huo umemalizika kwa sare ya bao 1-1.
Mshabiki wa timu ya Yanga akionekana ni mwenye huzuni sana baada ya timu yake kutoka sare ya bao 1-1 na timu ya Lipuli katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
Hivyo makala YANGA YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA LIPULI, ZATOKA SARE YA BAO 1-1 UWANJA WA UHURU LEO
yaani makala yote YANGA YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA LIPULI, ZATOKA SARE YA BAO 1-1 UWANJA WA UHURU LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YANGA YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA LIPULI, ZATOKA SARE YA BAO 1-1 UWANJA WA UHURU LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/yanga-yashindwa-kutamba-mbele-ya-lipuli.html
0 Response to "YANGA YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA LIPULI, ZATOKA SARE YA BAO 1-1 UWANJA WA UHURU LEO"
Post a Comment