title : WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAFANYA MABADILIKO KWA BAADHI YA WATENDAJI WAKE
kiungo : WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAFANYA MABADILIKO KWA BAADHI YA WATENDAJI WAKE
WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAFANYA MABADILIKO KWA BAADHI YA WATENDAJI WAKE
Mabadiliko hayo madogo yamegusa Chuo Cha Taifa cha Utalii, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) na Idara ya Utalii kwenye makao makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii.
Akitangaza mabadiliko hayo mwishoni mwa wiki mjini Dodoma, Waziri Maghembe alimtaja Deogratius Mdamu kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utalii kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Zahoro Kimwaga TAWA kukaimu nafasi ya Mkuu wa Shughuli za Utaliiwa Picha.
Profesa Maghembe alisema pia amemteua Phillip Chitaunga, kuwa Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Sehemu ya Maendeleo ya Utalii kwenye makao makuu ya wizara, ili kujaza nafasi iliyoachwa na Uzeeli Kiangi aliyestaafu utumishi kwa mujibu wa sheria.
"Kwenye Chuo chetu cha Taifa Utalii, ninamteua Dk. Shogo Mlozi kuwa Kaimu Mkuu wa Chuo ambaye kabla ya uteuzi huu alikuwa Mhadhiri Mwandamizi wa Utalii na Ukarimu kwenye Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)," alisema.
Hivyo makala WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAFANYA MABADILIKO KWA BAADHI YA WATENDAJI WAKE
yaani makala yote WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAFANYA MABADILIKO KWA BAADHI YA WATENDAJI WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAFANYA MABADILIKO KWA BAADHI YA WATENDAJI WAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/wizara-ya-maliasili-na-utalii-yafanya.html
0 Response to "WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAFANYA MABADILIKO KWA BAADHI YA WATENDAJI WAKE"
Post a Comment