title : Wenyeviti Serikali Za Mitaa Wa Cuf Wamuacha Njia panda Maliim Sefu
kiungo : Wenyeviti Serikali Za Mitaa Wa Cuf Wamuacha Njia panda Maliim Sefu
Wenyeviti Serikali Za Mitaa Wa Cuf Wamuacha Njia panda Maliim Sefu
Wenyeviti wa Serikali za Mitaa CUF Mkoa wa Dar es Salaam, wameungana na uamuzi wa Baraza Kuu la Uongozi upande wa Mwenyekiti wake anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba kuwatimua uanachama wabunge 8 Viti Maalum na Wabunge wawili.
Akizungumza na wanahabari jana kwa niaba ya wenzake 14, Mwenyekiti wa serikali ya Mitaa wa Keko Mwanga B, Shilingi Shilingi wanaunga mkono uamuzi wote wa Baraza Kuu la Uongozi kwa kuwa wabunge hao wamebainika kukihujumu chama hicho.
“Tunamtambua Maalim Seif Sharif Hamad kama katibu mkuu lakini kwa sasa nafasi yake inakaimiwa na Magadalena Sakaya kutoka na yeye kushindwa kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Katiba ya CUF,” alisema Shilingi
Wabunge waliotimuliwa CUF ni Raisa Abdallah Mussa, Khadija Salum Ally, Halima Ali Mohamed, Salma Mohamed Mwasa, Miza Bakari Haji, Riziki Shahari Mngwali, Saumu Heri Sakala na
Hivyo makala Wenyeviti Serikali Za Mitaa Wa Cuf Wamuacha Njia panda Maliim Sefu
yaani makala yote Wenyeviti Serikali Za Mitaa Wa Cuf Wamuacha Njia panda Maliim Sefu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wenyeviti Serikali Za Mitaa Wa Cuf Wamuacha Njia panda Maliim Sefu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/wenyeviti-serikali-za-mitaa-wa-cuf.html
0 Response to "Wenyeviti Serikali Za Mitaa Wa Cuf Wamuacha Njia panda Maliim Sefu"
Post a Comment