Waziri Salama Aboud akagua maendeleo ya ufungaji umeme kisiwa cha Fundo

Waziri Salama Aboud akagua maendeleo ya ufungaji umeme kisiwa cha Fundo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Salama Aboud akagua maendeleo ya ufungaji umeme kisiwa cha Fundo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Salama Aboud akagua maendeleo ya ufungaji umeme kisiwa cha Fundo
kiungo : Waziri Salama Aboud akagua maendeleo ya ufungaji umeme kisiwa cha Fundo

soma pia


Waziri Salama Aboud akagua maendeleo ya ufungaji umeme kisiwa cha Fundo

 MAFUNDI wa Shirika la Umeme Zanzibar ZECO Tawi la Pemba, wakusukuma waya wa umeme kutoka katika rola ili kutupa bahari kwa uangalifu.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
 MAFUNDI wa Shirika la Umeme Zanzibar ZECO Tawi la Pemba, wakiuzongoa waya wa umeme, ili waweze kuuzika chini ya bahari kwa ajili ya kuupeleka kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
 MAFUNDI wa Shirika la Umeme Zanzibar ZECO Tawi la Pemba, wakiwa wameubeba waya wa umeme kwa ajili ya kuuzika chini ya bahari kwenye mitaro maalumu iliyochimbwa, kwa ajili ya kupelekwa kisiwa cha Fundo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)

 WAZIRI wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira Zanzibar, Salama Aboud Talib, akimuangalia mmoja wa mafundi wa shirika la Umeme Zanzibar (ZECO)Tawi la Pemba, wakifunga moja ya raba maalumu katika waya wa umeme uliotoka Ukunjwi hadi Fundo, wakati alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya mradi huo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
WAZIRI wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira Zanzibar, Salama Aboud Talib, akizungumza na wananchi na mafundi wa ZECO huko katika Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete, mara baada ya kukagua maendeleo ya mradi wa umeme unavyokwenda.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)


Hivyo makala Waziri Salama Aboud akagua maendeleo ya ufungaji umeme kisiwa cha Fundo

yaani makala yote Waziri Salama Aboud akagua maendeleo ya ufungaji umeme kisiwa cha Fundo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Salama Aboud akagua maendeleo ya ufungaji umeme kisiwa cha Fundo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/waziri-salama-aboud-akagua-maendeleo-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri Salama Aboud akagua maendeleo ya ufungaji umeme kisiwa cha Fundo"

Post a Comment