title : WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA UJUMBE WA WATAALAMU KUTOKA MOROCCO KWA AJILI YA SHUGHULI ZA AWALI ZA UJENZI WA ENEO CHANGAMANI LA MICHEZO MKOANI DODOMA
kiungo : WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA UJUMBE WA WATAALAMU KUTOKA MOROCCO KWA AJILI YA SHUGHULI ZA AWALI ZA UJENZI WA ENEO CHANGAMANI LA MICHEZO MKOANI DODOMA
WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA UJUMBE WA WATAALAMU KUTOKA MOROCCO KWA AJILI YA SHUGHULI ZA AWALI ZA UJENZI WA ENEO CHANGAMANI LA MICHEZO MKOANI DODOMA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe akizungumza na ujumbe wa wataalamu kutoka Morocco waliofika Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuanza shughuli za awali za ujenzi wa eneo changamani la Michezo .Kushoto kwa Waziri ni Mkurugenzi wa Michezo wa Wizara hiyo Bw.Yusuph Singo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe akiwa katika picha ya pamoja na wataalamu kutoka Morocco waliofika Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuanza shughuli za awali za ujenzi wa eneo changamani la Michezo.Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Michezo wa Wizara hiyo Bw.Yusuph Singo na wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bw.Petro Lyatuu.Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.
Hivyo makala WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA UJUMBE WA WATAALAMU KUTOKA MOROCCO KWA AJILI YA SHUGHULI ZA AWALI ZA UJENZI WA ENEO CHANGAMANI LA MICHEZO MKOANI DODOMA
yaani makala yote WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA UJUMBE WA WATAALAMU KUTOKA MOROCCO KWA AJILI YA SHUGHULI ZA AWALI ZA UJENZI WA ENEO CHANGAMANI LA MICHEZO MKOANI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA UJUMBE WA WATAALAMU KUTOKA MOROCCO KWA AJILI YA SHUGHULI ZA AWALI ZA UJENZI WA ENEO CHANGAMANI LA MICHEZO MKOANI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/waziri-mwakyembe-akutana-na-ujumbe-wa.html
0 Response to "WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA UJUMBE WA WATAALAMU KUTOKA MOROCCO KWA AJILI YA SHUGHULI ZA AWALI ZA UJENZI WA ENEO CHANGAMANI LA MICHEZO MKOANI DODOMA"
Post a Comment