AJIBU Aanza Makali Yake Mjini Zenj, Afanya Vitu Si Mchezo Yeye na KAMUSOKO

AJIBU Aanza Makali Yake Mjini Zenj, Afanya Vitu Si Mchezo Yeye na KAMUSOKO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AJIBU Aanza Makali Yake Mjini Zenj, Afanya Vitu Si Mchezo Yeye na KAMUSOKO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AJIBU Aanza Makali Yake Mjini Zenj, Afanya Vitu Si Mchezo Yeye na KAMUSOKO
kiungo : AJIBU Aanza Makali Yake Mjini Zenj, Afanya Vitu Si Mchezo Yeye na KAMUSOKO

soma pia


AJIBU Aanza Makali Yake Mjini Zenj, Afanya Vitu Si Mchezo Yeye na KAMUSOKO

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Mshambuliaji mpya wa Yanga, Ibrahim Ajib jana ameonesha kiwango cha hali ya juu kabisa katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandege uliopigwa saa 2 za usiku katika uwanja wa Amaan ambapo Yanga waliibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Mbali ya kuonesha uhodari wake wa kuuchezea mpira Ajibu pia alifungua akaunti yake ya mabao baada ya kufunga bao lake la kwanza dakika ya 50 katika historia ya klabu yake hiyo mpya tangu ajiunge nayo akitokea Simba.

Bao hilo la Ajib ni msaada mkubwa wa Kiungo wa wakimataifa wa Zimbabwe Thabani Kamusoko ambae alipiga shuti kali na Ajib akamalizia.

Bao jengine la Yanga lilifungwa na Emanuel Martin dakika ya 73 ambapo ni bao lake la pili katika msimu huu kuanza kufuatia kushinda bao la ushindi Yanga walipoifunga Singida United 3-2.

Kikosi cha Yanga kimeondoka  kisiwani Unguja asubuhi ya leo Jumatatu kwa Ndege na kwenda Kisiwani Pemba kuweka kambi kujiandaa na pambano na mtani wake, Simba katika mchezo wa Ngao ya Hisani utakaopigwa Agost 23, 2017 kwenye uwanja wa Taifa Jijini Dar es salam.


Hivyo makala AJIBU Aanza Makali Yake Mjini Zenj, Afanya Vitu Si Mchezo Yeye na KAMUSOKO

yaani makala yote AJIBU Aanza Makali Yake Mjini Zenj, Afanya Vitu Si Mchezo Yeye na KAMUSOKO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AJIBU Aanza Makali Yake Mjini Zenj, Afanya Vitu Si Mchezo Yeye na KAMUSOKO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/ajibu-aanza-makali-yake-mjini-zenj.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "AJIBU Aanza Makali Yake Mjini Zenj, Afanya Vitu Si Mchezo Yeye na KAMUSOKO"

Post a Comment