WAZIRI MKUU AKEMEA KUAJIRIWA WATOTO KWENYE MASHAMBA YA TUMBAKU

WAZIRI MKUU AKEMEA KUAJIRIWA WATOTO KWENYE MASHAMBA YA TUMBAKU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU AKEMEA KUAJIRIWA WATOTO KWENYE MASHAMBA YA TUMBAKU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU AKEMEA KUAJIRIWA WATOTO KWENYE MASHAMBA YA TUMBAKU
kiungo : WAZIRI MKUU AKEMEA KUAJIRIWA WATOTO KWENYE MASHAMBA YA TUMBAKU

soma pia


WAZIRI MKUU AKEMEA KUAJIRIWA WATOTO KWENYE MASHAMBA YA TUMBAKU


Waziri Mkuu alitoa agizo hilo jana (Jumapili, Agosti 13, 2017) wakati akizungumza na watumishi wa idara za kilimo na ushirika na viongozi wa wilaya ya mkoa huo kwenye kikao alichokiitisha ili awape maagizo maalum.

“Ninasisitiza kuanzia sasa jamii iwapeleke watoto shule kuanzia elimu ya awali hadi sekondari na tuache kuwatumia watoto wadogo kama vibarua kwenye mashamba ya tumbaku. Wakuu wa wilaya simamieni eneo hili la kuondoa watoto kwenye ajira,” alisema.

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu alitumia fursa hiyo pia kusisitiza viongozi wa mkoa huo wasimamie elimu ya mtoto wa kike na kuhakikisha kuwa wanahitimu elimu ya sekondari.

“Kuna tatizo la mimba kwa watoto wa shule. Eneo hili pia linahitaji usimamizi ili kuwalinda watoto wa kike wamalize elimu yao. Tuwalinde wanaposoma elimu ya msingi na sekondari, wakishafika vyuo vikuu watakuwa wamepevuka na kuweza kufanya maamuzi ya kujilinda,” alisema.

Akihutubia kwenye mikutano ya hadhara wakati wa ziara yake ya siku nne moani Tabora, Waziri Mkuu aliwaasa vijana wa kiume wasithubutu kuwaoa mabinti wanaosoma, kwani kwa kufanya hivyo, wataishia kufungwa jela miaka 30.

Pia aliwaasa wazazi wanaoamua kuwaoza mabinti zao ili wapate mahari, nao pia wana hatari kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 endapo watabainika kushirikiana na waoaji.


Hivyo makala WAZIRI MKUU AKEMEA KUAJIRIWA WATOTO KWENYE MASHAMBA YA TUMBAKU

yaani makala yote WAZIRI MKUU AKEMEA KUAJIRIWA WATOTO KWENYE MASHAMBA YA TUMBAKU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AKEMEA KUAJIRIWA WATOTO KWENYE MASHAMBA YA TUMBAKU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/waziri-mkuu-akemea-kuajiriwa-watoto.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU AKEMEA KUAJIRIWA WATOTO KWENYE MASHAMBA YA TUMBAKU"

Post a Comment