title : Waziri Jenista Mhagama akutana na Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh
kiungo : Waziri Jenista Mhagama akutana na Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh
Waziri Jenista Mhagama akutana na Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) akizungumza na Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh kuhusu ushirikiano baina ya nchi ya Vietnam na Tanzania ofisini kwake, Jijini Dar es Salaam Agosti 2, 2017. Kulia ni Msaidizi wa Balozi Bw. Ton Ho Tri Dzung.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana Ajira na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) akisisitiza jambo pamoja na Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh ofisini kwake, Jijini Dar es Salaam Agosti 2, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake Jijini Dar es Salaam Agosti 2, 2017.
Hivyo makala Waziri Jenista Mhagama akutana na Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh
yaani makala yote Waziri Jenista Mhagama akutana na Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Jenista Mhagama akutana na Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/waziri-jenista-mhagama-akutana-na.html
0 Response to "Waziri Jenista Mhagama akutana na Balozi wa Vietnam Bw. Nguyen Kim Doanh"
Post a Comment