Wadau Wahamasishwa Kusaidia Ushiriki wa Tanzania Tamasha la JAMAFEST

Wadau Wahamasishwa Kusaidia Ushiriki wa Tanzania Tamasha la JAMAFEST - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wadau Wahamasishwa Kusaidia Ushiriki wa Tanzania Tamasha la JAMAFEST, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wadau Wahamasishwa Kusaidia Ushiriki wa Tanzania Tamasha la JAMAFEST
kiungo : Wadau Wahamasishwa Kusaidia Ushiriki wa Tanzania Tamasha la JAMAFEST

soma pia


Wadau Wahamasishwa Kusaidia Ushiriki wa Tanzania Tamasha la JAMAFEST

 Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akikiwasilisha mada katika mkutano wa wadau katika kuchangia ushiriki wa Tanzania katika Tamasha la Utamaduni la Afrika Mashariki (Jamafest) leo Jijini Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kuwakilishwa na wasanii takribani 240. 
 Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Sanaa kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi. Leah Kihimbi akizungumza kwa niaba ya Waziri Dkt. Harrison Mwakyembe katika mkutano wa wadau katika kuchangia ushiriki wa Tanzania katika Tamasha la Utamaduni la Afrika Mashariki (Jamafest) leo Jijini Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kuwakilishwa na wasanii takribani 240. 
 Mkurugenzi wa Vipindi wa Clouds Media Group (CMG), Bw. Ruge Mutahaba akichangia mada wakati wa kikao cha wanakamati ya maandalizi ya kufanikisha ushiriki wa Tanzania katika Tamasha la Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (Jamafest) litakalofanyika Jijini Kampala, Uganda, leo Jijini Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kuwakilishwa na wasanii takribani 240. 
 Mwakilishi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Bw. Nelson Madirisha akisisitiza jambo wakati wa kikao cha wadau kufanyikisha ushiriki wa Tanzania katika Tamasha la Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (Jamafest) litakalofanyika Jijini Kampala, Uganda, leo Jijini Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kuwakilishwa na wasanii takribani 240. 

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala Wadau Wahamasishwa Kusaidia Ushiriki wa Tanzania Tamasha la JAMAFEST

yaani makala yote Wadau Wahamasishwa Kusaidia Ushiriki wa Tanzania Tamasha la JAMAFEST Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wadau Wahamasishwa Kusaidia Ushiriki wa Tanzania Tamasha la JAMAFEST mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/wadau-wahamasishwa-kusaidia-ushiriki-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wadau Wahamasishwa Kusaidia Ushiriki wa Tanzania Tamasha la JAMAFEST"

Post a Comment