Kikosi cha Timu ya Simba Kikiwa Uwanja wa Amaan Kikijiandaa na Mchezo Wao wa Ngao ya Hisani na Watani wao Yanga.

Kikosi cha Timu ya Simba Kikiwa Uwanja wa Amaan Kikijiandaa na Mchezo Wao wa Ngao ya Hisani na Watani wao Yanga. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kikosi cha Timu ya Simba Kikiwa Uwanja wa Amaan Kikijiandaa na Mchezo Wao wa Ngao ya Hisani na Watani wao Yanga., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kikosi cha Timu ya Simba Kikiwa Uwanja wa Amaan Kikijiandaa na Mchezo Wao wa Ngao ya Hisani na Watani wao Yanga.
kiungo : Kikosi cha Timu ya Simba Kikiwa Uwanja wa Amaan Kikijiandaa na Mchezo Wao wa Ngao ya Hisani na Watani wao Yanga.

soma pia


Kikosi cha Timu ya Simba Kikiwa Uwanja wa Amaan Kikijiandaa na Mchezo Wao wa Ngao ya Hisani na Watani wao Yanga.



Na.Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Timu ya Simba SC ambao wapo Visiwani Zanzibar kwaajili ya kuweka kambi hadi Agost 22, 2017, kesho Alhamis watacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Mlandege SC mchezo ambao utasukumwa majira ya saa 2:00 za usiku katika uwanja wa Amaan.

Huu ni mchezo wa kwanza kwa timu ya Simba kucheza Visiwani hapa ndani ya msimu huu mpya ambapo pia itakuwa ni mchezo wake wa tano wa kirafiki kufuatia kucheza michezo minne.

Simba walicheza mechi mbili walipokwenda Afrika ya Kusini kuweka kambi ambapo walifungwa 1-0 Orlando Pirate, kisha wakatoka sare ya 1-1 na Bidvest baada ya hapo wakaichapa Rayon Sport ya Rwanda 1-0 kwenye mchezo wa siku ya Simba uliopigwa uwanja wa Taifa Dar es salam na mwisho kuwafunga Mtibwa Sugar 1-0.

Kwa upande wa Mlandege Jumapili iliyopita ya Agost 13 walichapwa 2-0 na Yanga kwenye uwanja huo huo wa Amaan ambapo kesho watakipiga tena na Simba.


Hivyo makala Kikosi cha Timu ya Simba Kikiwa Uwanja wa Amaan Kikijiandaa na Mchezo Wao wa Ngao ya Hisani na Watani wao Yanga.

yaani makala yote Kikosi cha Timu ya Simba Kikiwa Uwanja wa Amaan Kikijiandaa na Mchezo Wao wa Ngao ya Hisani na Watani wao Yanga. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kikosi cha Timu ya Simba Kikiwa Uwanja wa Amaan Kikijiandaa na Mchezo Wao wa Ngao ya Hisani na Watani wao Yanga. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/kikosi-cha-timu-ya-simba-kikiwa-uwanja.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kikosi cha Timu ya Simba Kikiwa Uwanja wa Amaan Kikijiandaa na Mchezo Wao wa Ngao ya Hisani na Watani wao Yanga."

Post a Comment