ULEGA AZINDUA MADARASA YALIYOJENGWA KWA USHIRIKIANO NA FAMILIA YA GHULAM HUSSEIN

ULEGA AZINDUA MADARASA YALIYOJENGWA KWA USHIRIKIANO NA FAMILIA YA GHULAM HUSSEIN - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ULEGA AZINDUA MADARASA YALIYOJENGWA KWA USHIRIKIANO NA FAMILIA YA GHULAM HUSSEIN, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ULEGA AZINDUA MADARASA YALIYOJENGWA KWA USHIRIKIANO NA FAMILIA YA GHULAM HUSSEIN
kiungo : ULEGA AZINDUA MADARASA YALIYOJENGWA KWA USHIRIKIANO NA FAMILIA YA GHULAM HUSSEIN

soma pia


ULEGA AZINDUA MADARASA YALIYOJENGWA KWA USHIRIKIANO NA FAMILIA YA GHULAM HUSSEIN


Mbunge wa mkuranga ,Abdallah Ulega akizindua madarasa yaliyojengwa kwa ushirikiano na familia ya Ghulam Hussein pamoja na mdau wa maendeleo na balozi wa heshima kutoka visiwa vya Seychelles Maria Van Pool (aliyevaa nguo nyekundu).

 Mbunge wa Mkuranga  Abdallah Ulega amefanikiwa kuzindua madarasa mawili katika shule ya msingi Muongozo kijiji cha Mwarusembe yaliyojengwa kwa hisani ya familia ya Ghulam Hussein ikiwa ni kuitikia ombi la Mbunge la kushirikiana na wadau mbalimbali katika  kuijenga Mkuranga.

Familia hii imeunganishwa na mdau wa maendeleo na balozi wa heshima kutoka visiwa vya Seychelles Maria Van Pool na Katika uzinduzi huo  Ulega aliwasisitiza wazazi kusimamia vyema maendeleo ya elimu ya watoto kwa kushirikiana na walimu.

Mbunge Ulega alisisitiza pia kutunzwa kwa miundombinu ya elimu ili iweze kudumu kwa mda mrefu na kuwanufaisha waTanzania walio wengi                       

  Mbunge wa jimbo la Mkuranga,Abdallah Ulega akizungumza na wazazi pamoja na wanafunzi katika hafla ya uzinduzi wa madarasa mawili katika shule ya msingi Muongozo kijiji cha Mwarusembe, Madarasa hayo yamejengwa kwa hisani ya familia ya Ghulam Hussein.                        

Muonekano wa nje wa madarasa hayo, pamoja na Mbunge wa mkuranga ,Abdallah Ulega akiwa pamoja na  familia ya Ghulam Hussein pamoja na mdau wa maendeleo na balozi wa heshima kutoka visiwa vya Seychelles Maria Van Pool na wanafunzi wa shule wakiwa wamekaa katika madawati ndani ya madarasa hayo.
 Mbunge wa mkuranga ,Abdallah Ulega akisalimiana na wazazi na  wanafunzi  katika hafla ya uzinduzi wa madara mawili katika shule ya msingi Muongozo kijiji cha Mwarusembe, Madarasa hayo yamejengwa kwa hisani ya familia ya Ghulam Hussein



Hivyo makala ULEGA AZINDUA MADARASA YALIYOJENGWA KWA USHIRIKIANO NA FAMILIA YA GHULAM HUSSEIN

yaani makala yote ULEGA AZINDUA MADARASA YALIYOJENGWA KWA USHIRIKIANO NA FAMILIA YA GHULAM HUSSEIN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ULEGA AZINDUA MADARASA YALIYOJENGWA KWA USHIRIKIANO NA FAMILIA YA GHULAM HUSSEIN mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/ulega-azindua-madarasa-yaliyojengwa-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ULEGA AZINDUA MADARASA YALIYOJENGWA KWA USHIRIKIANO NA FAMILIA YA GHULAM HUSSEIN"

Post a Comment