title : Timu ya Prisons inayoshiriki Ligi Kuu Bara kujjipima nguvu na Ngome kesho
kiungo : Timu ya Prisons inayoshiriki Ligi Kuu Bara kujjipima nguvu na Ngome kesho
Timu ya Prisons inayoshiriki Ligi Kuu Bara kujjipima nguvu na Ngome kesho
Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Timu ya Tanzania Prisons ambayo imeweka kambi visiwani Zanzibar kesho Jumanne Agost 15, 2017 itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Ngome mchezo ambao utapigwa katika uwanja wa Fuoni kuanzia saa 10:00 za jioni.
Kiingilio katika mchezo huo ni Shilingi Elfu moja tu.
Prisons ambayo inafundishwa na kocha Mzanzibar Abdallah Mohd “Bares” ipo kambi visiwani hapa kwa kujiandaa na ligi kuu soka ya Tanzania bara msimu mpya ambapo mchezo wao wa kwanza wa ligi hiyo watacheza Jumamosi Agost 26, 2017 dhidi ya timu mpya iliyopanda daraja ya Njombe Mji.
Hivyo makala Timu ya Prisons inayoshiriki Ligi Kuu Bara kujjipima nguvu na Ngome kesho
yaani makala yote Timu ya Prisons inayoshiriki Ligi Kuu Bara kujjipima nguvu na Ngome kesho Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Timu ya Prisons inayoshiriki Ligi Kuu Bara kujjipima nguvu na Ngome kesho mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/timu-ya-prisons-inayoshiriki-ligi-kuu.html
0 Response to "Timu ya Prisons inayoshiriki Ligi Kuu Bara kujjipima nguvu na Ngome kesho"
Post a Comment