title : TAZAMA PICHA ZA WASANII WA WCB WALIVYOKINUKISHA BIRTHDAY YA ROMY JONS
kiungo : TAZAMA PICHA ZA WASANII WA WCB WALIVYOKINUKISHA BIRTHDAY YA ROMY JONS
TAZAMA PICHA ZA WASANII WA WCB WALIVYOKINUKISHA BIRTHDAY YA ROMY JONS
Siku ya jana August 18, 2017 ilikuwa birthday ya DJ wa Diamond Platnumz, Romy Jons ambapo wasanii na viongozi wa WCB walijumuika pamoja na watu mbali mbali kusherekea.
Muda mfupi uliopita Romy Jons kupitia mtandao wa instagram ametoa shukrani kwa wote waliohudhuria party hiyo, “thanks for everyone who showed up last night…shukran sana kwa kila aliyejitokeza jana!najisikiaga faraja sana kusherehekeaga siku yangu ya kuzaliwa na watu wangu wa karibu na wasiokua wakaribu pia!!!!,” ameandika.
Tazama picha zaidi.
Hivyo makala TAZAMA PICHA ZA WASANII WA WCB WALIVYOKINUKISHA BIRTHDAY YA ROMY JONS
yaani makala yote TAZAMA PICHA ZA WASANII WA WCB WALIVYOKINUKISHA BIRTHDAY YA ROMY JONS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAZAMA PICHA ZA WASANII WA WCB WALIVYOKINUKISHA BIRTHDAY YA ROMY JONS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/tazama-picha-za-wasanii-wa-wcb.html
0 Response to "TAZAMA PICHA ZA WASANII WA WCB WALIVYOKINUKISHA BIRTHDAY YA ROMY JONS"
Post a Comment