title : TAZAMA JINSI MAYWEATHER ALIVYOMPIGA MCGREGOR
kiungo : TAZAMA JINSI MAYWEATHER ALIVYOMPIGA MCGREGOR
TAZAMA JINSI MAYWEATHER ALIVYOMPIGA MCGREGOR
Bondia Floyd Mayweather ameweka rekodi katika ulimwengu wa ngumi baada ya kushuka ulingoni mara 50 bila kupoteza hata pambano mara moja.
Rekodi hiyo mpya ameiweka leo (Agosti 26 kwa saa za Marekani) baada ya kumdhibiti Conor McGregor ambaye alikuwa ni hasimu wake katika pambano lililokuwa likisubiriwa kwa hamu katika mzunguko wa 10 na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa alama 87 dhidi ya 84 za Conor.
McGregor alianza vizuri pambano hilo kwa kumtwanga Mayweather lakini baadae kibao kilimgeukia huku akitupiwa makonde na kushindwa kujibu.
Baada ya pambano hilo lililofanyika katika uwanja uliopo Las Vegas, Mayweather amesema kuwa Conor ni mpiganaji mzuri kuliko alivyodhania lakini ameweza kuwapa mashabiki wake na wapenzi wa ngumi, kile walichokuwa wakikisubiria kwa hamu.
Mayweather amesema kuwa hilo lilikuwa ni pambano lake la mwisho na ana uhakika kwamba alichagua mshindani mzuri (Conor) ambaye alimpa ushindani mkubwa.
Hapa chini ni baadhi ya picha kutoka kwenye pambano hilo;
Hivyo makala TAZAMA JINSI MAYWEATHER ALIVYOMPIGA MCGREGOR
yaani makala yote TAZAMA JINSI MAYWEATHER ALIVYOMPIGA MCGREGOR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAZAMA JINSI MAYWEATHER ALIVYOMPIGA MCGREGOR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/tazama-jinsi-mayweather-alivyompiga.html
0 Response to "TAZAMA JINSI MAYWEATHER ALIVYOMPIGA MCGREGOR"
Post a Comment