Taasisi ya Women On Wheel - Africa yatoa mafunzo ya udereva kwa wanawake

Taasisi ya Women On Wheel - Africa yatoa mafunzo ya udereva kwa wanawake - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Taasisi ya Women On Wheel - Africa yatoa mafunzo ya udereva kwa wanawake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Taasisi ya Women On Wheel - Africa yatoa mafunzo ya udereva kwa wanawake
kiungo : Taasisi ya Women On Wheel - Africa yatoa mafunzo ya udereva kwa wanawake

soma pia


Taasisi ya Women On Wheel - Africa yatoa mafunzo ya udereva kwa wanawake

Bw. Martin Gabone Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Women On Wheel - Africa akizungumza na wanawake akina mama kwa wasichana wakati wa semina ya iliyoandaliwa na Taasisi hiyo kwa ajili ya kuwapa mafunzo ya udereva wa kibiashara ambao utawawezesha kiuchumi kupitia sekta ya usafirishaji.

Bw. Martin Gabone amesema Semina hii ina lengo la kuwaandaa wanawake watanzania na Afrika kwa ujumla kupata ujuzi katika taaluma ya udereva wa kibiashara ambapo wanawake hawa watapata mafunzo maalum katika programu ya Women On Wheel - Africa ili kujiwezesha na kujitegemea kiuchumi kupitia taaluma hii ya udereva wa kibiashara na wenye tija kwa maisha yao na taifa kwa ujumla wake.

Women On Wheel - Africa inawakaribisha wanawake akina mama kwa wasichana kujisajiri ili kujiunga na mpango huu muhimu ambapo mafunzo yanatarajiwa kuanza mwezi wa tisa mwaka huu 2017 jijini Dar es salaam katika ofisi za taasisi ya

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kutumia namba hizi
0712 156 933: 022 2664618: 022 2664587
OFISI ZA TAASISI HIYO ZIPO KINONDONI ADA ESTATE KARIBU NA BAKWATA HIGH SCHOOL.

Bw. Martin Gabone Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Women On Wheel - Africa akisisitiza jambo wakati akizungumza na wanawake akina mama kwa wasichana wakati wa semina ya iliyoandaliwa na Taasisi hiyo kwa ajili ya kuwapa mafunzo ya ujasiriamali na kuwawezesha kiuchumi kupitia sekta ya usafirishaji.

Mjasiriamali Bi Tedy Daniel mmoja wa washiriki wa semina hiyo akifafanua jambo kwa wanasemina wenzake wakati wa mafunzo hayo.
Bw. Martin Gabone Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Women On Wheel - Africa akiwaelekeza jambo baadhi ya washiriki wakati wa semina ya iliyoandaliwa na Taasisi hiyo kwa ajili ya kuwapa mafunzo ya ujasiriamali na kuwawezesha kiuchumi kupitia sekta ya usafirishaji.


Hivyo makala Taasisi ya Women On Wheel - Africa yatoa mafunzo ya udereva kwa wanawake

yaani makala yote Taasisi ya Women On Wheel - Africa yatoa mafunzo ya udereva kwa wanawake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Taasisi ya Women On Wheel - Africa yatoa mafunzo ya udereva kwa wanawake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/taasisi-ya-women-on-wheel-africa-yatoa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Taasisi ya Women On Wheel - Africa yatoa mafunzo ya udereva kwa wanawake"

Post a Comment