SERIKALI YAMALIZA USHAHIDI KUHUSU MKOJO MANJI

SERIKALI YAMALIZA USHAHIDI KUHUSU MKOJO MANJI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YAMALIZA USHAHIDI KUHUSU MKOJO MANJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YAMALIZA USHAHIDI KUHUSU MKOJO MANJI
kiungo : SERIKALI YAMALIZA USHAHIDI KUHUSU MKOJO MANJI

soma pia


SERIKALI YAMALIZA USHAHIDI KUHUSU MKOJO MANJI

Mkemia kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Domician Dominic ameieleza Mahakama ya Kisutu leo August 23, 2017 kuwa dawa za kulevya (Benzodiazepines) alizobainika anatumia mfanyabiashara Yusuf Manji zinatolewa hospitalini na zinauzwa Pharmacy.

Mkemia huyo amesema hajui kama sampuli ya mkojo alioupima ni wa Manji ama Askari Polisi, kwa sababu wakati Manji anachukuliwa sampuli hiyo aliingia chooni na Askari, huku yeye akiwasubiri nje.

Aidha, Mkemia amesema katika kipimo cha mkojo wa Manji amebaini uwepo wa dawa aina ya Benzodiazipines ikiwa ni zao la Heroin, ambapo dawa hiyo ina matumizi mengi ikiwemo kuondoa maumivu makali, ikitegemeana na ushauri wa daktari.

Baada ya kuelezwa hayo, Wakili Mkuu wa Serikali, Timony Vitalis amesema Serikali imefunga ushahidi wa mashahidi wake watatu.

Hakimu Mkazi Mfawidhi, Cyprian Mkeha amesema atatoa uamuzi kama Manji ana kesi ya kujibu ama la, August 25/2017.


Hivyo makala SERIKALI YAMALIZA USHAHIDI KUHUSU MKOJO MANJI

yaani makala yote SERIKALI YAMALIZA USHAHIDI KUHUSU MKOJO MANJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAMALIZA USHAHIDI KUHUSU MKOJO MANJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/serikali-yamaliza-ushahidi-kuhusu-mkojo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI YAMALIZA USHAHIDI KUHUSU MKOJO MANJI"

Post a Comment