Roma arudi nchini kimya kimya, Aahidi kuweka wazi kila kitu kuhusu ‘Zimbabwe’

Roma arudi nchini kimya kimya, Aahidi kuweka wazi kila kitu kuhusu ‘Zimbabwe’ - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Roma arudi nchini kimya kimya, Aahidi kuweka wazi kila kitu kuhusu ‘Zimbabwe’, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Roma arudi nchini kimya kimya, Aahidi kuweka wazi kila kitu kuhusu ‘Zimbabwe’
kiungo : Roma arudi nchini kimya kimya, Aahidi kuweka wazi kila kitu kuhusu ‘Zimbabwe’

soma pia


Roma arudi nchini kimya kimya, Aahidi kuweka wazi kila kitu kuhusu ‘Zimbabwe’

Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania, Roma Mkatoliki amewasili jana usiku akitokea nchini Zimbabwe alikoenda kikazi.
Tokeo la picha la Roma mkatoliki
Roma Mkatoliki
Roma Mkatoliki ambaye ameachia wimbo wake mpya wa Zimbabwe wiki iliyopita amejikuta akisakwa na vyombo vya habari kuzungumzia wimbo huo wenye mashairi yenye mafumbo lakini hakuwepo nchini na kumuachia jukumu hilo la kutambulisha wimbo huo kwenye Media, mke wake.
“Kiukweli nimechoka wanangu what i need ni kuona familia yangu, mke wangu na mtoto na ndugu, jamaa na marafiki”,amesema Roma Mkatoliki jana usiku alipowasili Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. JK Nyerere, jijini Dar es salaam.
Alipoulizwa ni kwanini alimtuma mke wake aachie wimbo huo ile hali alikuwa nje ya nchi Roma Mkatoliki amesema alifanya hivyo kwa sababu muda ulifika wa kutoa ngoma hiyo na tayari alifanya booking na Media, lakini alikataa kuzungumzia wimbo huo wala kueleza alichoenda kufanya Zimbabwe huku akiahidi mashabiki wake kuwa kuanzia leo ataanza Media Tour kuuzungumzia wimbo huo wenye mashairi yenye mafumbo .
Wakazi, Stamina, Ndugu jamaa na Marafiki zake wa karibu wa Roma walikuwepo kwenye mapokezi hayo ambayo yalikuwa kimya kimya.


Hivyo makala Roma arudi nchini kimya kimya, Aahidi kuweka wazi kila kitu kuhusu ‘Zimbabwe’

yaani makala yote Roma arudi nchini kimya kimya, Aahidi kuweka wazi kila kitu kuhusu ‘Zimbabwe’ Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Roma arudi nchini kimya kimya, Aahidi kuweka wazi kila kitu kuhusu ‘Zimbabwe’ mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/roma-arudi-nchini-kimya-kimya-aahidi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Roma arudi nchini kimya kimya, Aahidi kuweka wazi kila kitu kuhusu ‘Zimbabwe’"

Post a Comment