KUPIMA UKIMWI NCHINI ZAMBIA NI LAZIMA SIO HIARI TENA

KUPIMA UKIMWI NCHINI ZAMBIA NI LAZIMA SIO HIARI TENA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUPIMA UKIMWI NCHINI ZAMBIA NI LAZIMA SIO HIARI TENA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUPIMA UKIMWI NCHINI ZAMBIA NI LAZIMA SIO HIARI TENA
kiungo : KUPIMA UKIMWI NCHINI ZAMBIA NI LAZIMA SIO HIARI TENA

soma pia


KUPIMA UKIMWI NCHINI ZAMBIA NI LAZIMA SIO HIARI TENA

Rais wa Zambia, Edgar Lungu, ametangaza kwamba wananchi wote wanaofika katika vituo vya afya vya serikali wapimwe virusi vya Ukimwi kwa lazima, wapatiwe ushauri nasaha na tiba.

Rais Lungu amesema, sera hiyo mpya inaenda sawia na agenda ya serikali ya kutokomeza virusi vya HIV nchini humo ifikapo mwaka 2030.

Katika tangazo hilo, kiongozi huyo amesisitiza umuhimu wa kulinda maisha ya wale walioathirika na wale ambao wako hatarini kuambukizwa virusi hivyo.

Amesema, licha ya sera hiyo kukiuka haki ya mtu kupima kwa hiari lakini akasisitiza kuwa hakuna mtu mwenye haki ya kuweka rehani maisha ya binadamu mwenzake.

Sera hiyo inakiuka muongozo wa Shirika la Afya Duniani, WHO, na Shirika la Ukimwi la Umoja wa Mataifa, UNAIDS, unaohamasisha watu kupima Vvu na kupata ushauri nasaha kwa hiari.

Zambia ni miongoni mwa nchi zenye kiwango cha juu cha maambukizi ya ugonjwa huo kusini mwa bara la Afrika ikiwa na asilimia 11.6 huku watu walio na umri wa miaka kuanzia 15 mpaka 49 wakiishi na virusi vya ukimwi.


Hivyo makala KUPIMA UKIMWI NCHINI ZAMBIA NI LAZIMA SIO HIARI TENA

yaani makala yote KUPIMA UKIMWI NCHINI ZAMBIA NI LAZIMA SIO HIARI TENA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUPIMA UKIMWI NCHINI ZAMBIA NI LAZIMA SIO HIARI TENA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/kupima-ukimwi-nchini-zambia-ni-lazima.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KUPIMA UKIMWI NCHINI ZAMBIA NI LAZIMA SIO HIARI TENA"

Post a Comment