RITA YAJA NA MFUMO MPYA WA USAJILI WA VYETI VYA KUZALIWA

RITA YAJA NA MFUMO MPYA WA USAJILI WA VYETI VYA KUZALIWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RITA YAJA NA MFUMO MPYA WA USAJILI WA VYETI VYA KUZALIWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RITA YAJA NA MFUMO MPYA WA USAJILI WA VYETI VYA KUZALIWA
kiungo : RITA YAJA NA MFUMO MPYA WA USAJILI WA VYETI VYA KUZALIWA

soma pia


RITA YAJA NA MFUMO MPYA WA USAJILI WA VYETI VYA KUZALIWA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ametoa wito kwa wakala wa usajili wa uzazi na vifo (RITA) kuhakikisha inawapatia vyeti vya kuzaliwa wakazi wote wa mkoa wake ambao hivi sasa ni asilimia 40 tu miongoni mwao ndiyo wenye vyeti hivyo.

RC Makonda aliyasema hayo leo wakati anazindua mfumo wa teknolojia, habari na mawasiliano (Tehama) ambao unahusisha mfumo wa vizazi na vifo  utakaotumiwa na RITA.
 
Akihimiza kutekelezwa kwa haraka kwa usajili hasa wa uzazi, aliwaomba wananchi kuwa wepesi wa kuwapa majina watoto wao wanaozaliwa ili waweze kurahisisha zoezi la watoto hao kupewa vyeti vya kuzaliwa kwa haraka.

Alisema hilo wakati akielezea kwamba utamaduni wa wazazi kuchelewa kuwapa majina watoto, husababisha kuchelewa kwa mtoto kupewa cheti cha kuzaliwa mapema. 

Mkuu huyo alisisitiza kwamba kutekelezwa vyema kwa usajili huo kutatoa fursa zaidi kwa wazawa kufaidi fursa ambazo hapo awali zilikuwa zinatumiwa na watu ambao si raia wanaoishi kinyemela nchini.

Kwa upande wake Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA Emmy Hudson ameeleza kuwa mpango wao ni kuhakikisha kuwa baada ya miaka mitano takribani watanzania kwa asilimia 80 wawe wamesajiriwa kupitia mfumo huo kwa kusajiri taarifa zao mbalimbali.

Afisa Mtendaji Hudson ameongeza kuwa mfumo huo utarahisisha usajili kwa haraka tofauti na awali na umeunganishwa na mifumo mingine ya serikali ikiwemo NIDA,NBS, Uhamiaji, na NEC, vilevile utasaidia katika upatikanaji wa Takwimu za vizazi na vifo kwa urahisi.


Hivyo makala RITA YAJA NA MFUMO MPYA WA USAJILI WA VYETI VYA KUZALIWA

yaani makala yote RITA YAJA NA MFUMO MPYA WA USAJILI WA VYETI VYA KUZALIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RITA YAJA NA MFUMO MPYA WA USAJILI WA VYETI VYA KUZALIWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rita-yaja-na-mfumo-mpya-wa-usajili-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RITA YAJA NA MFUMO MPYA WA USAJILI WA VYETI VYA KUZALIWA"

Post a Comment