title : RAS Mbeya Afungua Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Kuandaa Mipango na Bajeti katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa
kiungo : RAS Mbeya Afungua Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Kuandaa Mipango na Bajeti katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa
RAS Mbeya Afungua Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Kuandaa Mipango na Bajeti katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi. Mariam A. Mtunguja akisisitiza jambo mbele ya watumishi wa umma kutoka mikoa ya Songwe, Iringa, Njombe na Mbeya alipokuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Kisekta (PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID). Watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa hiyo.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi. Mariam A. Mtunguja (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki washiriki wa semina ya siku nane juu ya Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) mara baada ya kufungua semina hiyo leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID) ambapo inahusisha watumishi wa umma kutoka kada za Maafisa Mipango,Wachumi, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu kutoka Halmashauri na Mikoa ya Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.
Picha zote na: Idara ya Habari – MAELEZO, Mbeya.
Hivyo makala RAS Mbeya Afungua Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Kuandaa Mipango na Bajeti katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa
yaani makala yote RAS Mbeya Afungua Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Kuandaa Mipango na Bajeti katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAS Mbeya Afungua Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Kuandaa Mipango na Bajeti katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/ras-mbeya-afungua-mafunzo-ya-mfumo-mpya.html
0 Response to "RAS Mbeya Afungua Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Kuandaa Mipango na Bajeti katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa"
Post a Comment