title : RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOA KUSINI UNGUJA
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOA KUSINI UNGUJA
RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOA KUSINI UNGUJA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe jana na kulifungua Tawi la CCM Kizimkazi Dimbani Wilaya ya Kusini Unguja wakati wa ziara yake katika Wilaya hiyo,(kushoto) Mwandawa Said Nassor.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na WanaCCM wa Tawi la Kizimkazi Dimbani mara baada ya kulifungua Tawi hilo akiwa katika ziara katika Mkoa wa Kusini Unguja jana (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Bw.Ramadhan Abdalla Ali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akifungua pazia kama ishara ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi wa Nyumba ya Daktari katika Kijiji cha Muyuni "B" Wilaya ya Kusini Unguja alipofanya Ziara ya kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya hiyo jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwasalimia na wananchi katika Kijiji cha Muyuni "B" Wilaya ya Kusini Unguja baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Nyumba ya Daktari katika kijiji hicho jana alipofanya Ziara ya kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya hiyo. Picha na IKULU
Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOA KUSINI UNGUJA
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOA KUSINI UNGUJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOA KUSINI UNGUJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-wa-zanzibar-dkshein-afanya-ziara.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOA KUSINI UNGUJA"
Post a Comment