title : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Akutana na Bill Gates Ikulu Dar es Salaam leo.
kiungo : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Akutana na Bill Gates Ikulu Dar es Salaam leo.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Akutana na Bill Gates Ikulu Dar es Salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Taasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. Bill Gates aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akizungumza na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. ill Gates aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akizungumza na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. ill Gates aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiagana na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. Bill Gates aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017. Pamoja nao ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu (kulia), Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dk Charles Tizeba (wa tatu Kushoto), Msaidizi wa rais Masuala ya diplomasia Bi. Zuhura Bundala (kushoto) pamoja na maafisa alioongozana nao Bw. Bill Gates(Picha na Ikulu )
Hivyo makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Akutana na Bill Gates Ikulu Dar es Salaam leo.
yaani makala yote Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Akutana na Bill Gates Ikulu Dar es Salaam leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Akutana na Bill Gates Ikulu Dar es Salaam leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_10.html
0 Response to "Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Akutana na Bill Gates Ikulu Dar es Salaam leo."
Post a Comment