RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA KIGAMBONI LEO, AJICHANGANYA NA WANANCHI KWENYE PANTONI

RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA KIGAMBONI LEO, AJICHANGANYA NA WANANCHI KWENYE PANTONI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA KIGAMBONI LEO, AJICHANGANYA NA WANANCHI KWENYE PANTONI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA KIGAMBONI LEO, AJICHANGANYA NA WANANCHI KWENYE PANTONI
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA KIGAMBONI LEO, AJICHANGANYA NA WANANCHI KWENYE PANTONI

soma pia


RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA KIGAMBONI LEO, AJICHANGANYA NA WANANCHI KWENYE PANTONI

Mwambawahabari






 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Yusuph Ndemango ambaye ni mlemavu wakati alipomkuta ndani ya jengo la abiria lililopo upande wa Magogoni kabla ya kuvuka na Pantoni kuelekea  katika Chuo cha Kumbukumbu ya  Mwalimu Nyerere Kigamboni  jijini Dar es Salaam. 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ndani ya Kivuko cha MV Kigamboni pamoja na abiria wengine wakati akivuka kuelekea upande wa pili wa Kigamboni jijini Dar es Salaam.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mama mmoja mara baada ya kuvuka upande wa Kigamboni jijini Dar es Salaam.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana pamoja na kuzungumza na abiria mbalimbali wakati akisubiri kuvuka kwa kutumia usafiri wa Pantoni kuelekea katika Chuo cha Kumbukumbu ya  Mwalimu Nyerere Kigamboni  jijini Dar es Salaam

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Kigamboni mara baada ya kuvuka kwa kutumia usafiri wa Pantoni wakati katika Chuo cha Kumbukumbu ya  Mwalimu Nyerere Kigamboni  jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA KIGAMBONI LEO, AJICHANGANYA NA WANANCHI KWENYE PANTONI

yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA KIGAMBONI LEO, AJICHANGANYA NA WANANCHI KWENYE PANTONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA KIGAMBONI LEO, AJICHANGANYA NA WANANCHI KWENYE PANTONI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-dkt-magufuli-atembelea-kigamboni_25.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA KIGAMBONI LEO, AJICHANGANYA NA WANANCHI KWENYE PANTONI"

Post a Comment