title : Rais Dk Shien aendelea na ziara yake Wilaya ya Kaskazini A Unguja
kiungo : Rais Dk Shien aendelea na ziara yake Wilaya ya Kaskazini A Unguja
Rais Dk Shien aendelea na ziara yake Wilaya ya Kaskazini A Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir (kushoto) mara alipowasili katika Uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa ujenzi wa Soko la Kinyasini Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya maendeleo, ,[Picha na Ikulu.] 13/08/2017.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili Shehia ya Kinyasini katika Uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa ujenzi wa Soko la Kinyasini Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya maendeleo, ,[Picha na Ikulu.] 13/08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili Shehia ya Kinyasini katika Uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa ujenzi wa Soko la Kinyasini Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya maendeleo, ,[Picha na Ikulu.] 13/08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini”A” Unguja Hassan Ali mara alipowasili Shehia ya Kinyasini katika Uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa ujenzi wa Soko la Kinyasini Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya maendeleo, ,[Picha na Ikulu.] 13/08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia Ujenzi wa Mradi wa Soko la Kinyasini Wilaya ya Kaskazini”A” Unguja wakati alipofanya ziara maalum ya kukagua na kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Mkoa wa Kaskazini Unguja,[Picha na Ikulu.] 13/08/2017.
Baadhi ya Wananchi waliohudhuria katika sherehe ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kinyasini Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozungumza na Wananchi hao alipofanya ziara ya kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo, [Picha na Ikulu.] 13/08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi wa Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kinyasini Wilaya ya Kaskazini”A” Unguja Nd,Ali Mbarouk na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ZECCON CO LTD,wakati alipoweka jiwe la msingi Ujenzi huo leo alipofanya ziara maalum ya kutembelea Miradi ya Maendeleo,(kushoto) Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamadi Rashid Mohamed,[Picha na Ikulu.] 13/08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Mbyu maji alipofika kuangalia maendeleo na kupata maelezo mafupi juu ya huduma za jamii,karika Wilaya ya Kaskazini “A:” Unguja leo alipofanya ziara ,maalum Wilayani humo, [Picha na Ikulu.] 13/08/2017.
Baadhi ya Wananchi waliofika kumpokea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipofika katika Kijiji cha Mbuyu Maji leo alipofanya ziara ya kutembelea Kijiji hicho sambamba na kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya kaskazini”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja, [Picha na Ikulu.] 13/08/2017.
Sheha wa Shehia ya Mbuyu Maji Nd,Vuai Farahani alipokuwa akielezea Mapungufu na Matatizo mbali mbali yanayokabili katika shehia hiyo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipofanya ziara ya kutembelea Kijiji hicho sambamba na kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya kaskazini”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja, [Picha na Ikulu.] 13/08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na wanakijiji cha Mbuyu Maji wakati alipokuwa akiwaahidi kwa kupunguza matatizo ya Kijiji hicho leo alipotembelea Wilaya ya kaskazini”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo, [Picha na Ikulu.] 13/08/2017.
Hivyo makala Rais Dk Shien aendelea na ziara yake Wilaya ya Kaskazini A Unguja
yaani makala yote Rais Dk Shien aendelea na ziara yake Wilaya ya Kaskazini A Unguja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shien aendelea na ziara yake Wilaya ya Kaskazini A Unguja mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-dk-shien-aendelea-na-ziara-yake.html
0 Response to "Rais Dk Shien aendelea na ziara yake Wilaya ya Kaskazini A Unguja"
Post a Comment