title : Rais Dk Shein ziarani Wilaya ya Kaskazini B Unguja
kiungo : Rais Dk Shein ziarani Wilaya ya Kaskazini B Unguja
Rais Dk Shein ziarani Wilaya ya Kaskazini B Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira Nd,Ali Khalil Mirza pamoja na Viongozi wengine mara alipofika kukagua kituo cha kutibu Maji safi na Salama katika Kijiji cha Donge Mbiji Wilaya ya Kaskazini Unguja leo alipofanya ziara maalum ya kutembelea Miradi ya Maendeleo, [Picha na Ikulu.] 12/08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji safi na Salama katika Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira Dkt.Mustafa Ali Garu (kulia) mara alipofika kukagua kituo cha kutibu Maji safi na Salama katika Kijiji cha Donge Mbiji Wilaya ya Kaskazini Unguja leo alipofanya ziara maalum ya kutembelea Miradi ya Maendeleo, (katikati) Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira Mhe.Salama Aboud Twalib,[Picha na Ikulu.] 12/08/2017.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji safi na Salama katika Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira Dkt.Mustafa Ali Garu (kushoto)alipokuwa akitota maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein ( wa pili kushoto) mara alipofika kuangalia kisima katika kituo cha kutibu Maji safi na Salama katika Kijiji cha Donge Mbiji Wilaya ya Kaskazini Unguja leo alipofanya ziara maalum ya kutembelea Miradi ya Maendeleo, (katikati) Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira Mhe.Salama Aboud Twalib,[Picha na Ikulu.] 12/08/2017.
ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Bwana Haruna Abuu Mbarouk wakati alipotembelea Shamba la Mikarafuu katika Kijiji cha Donge Pwani Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja alipofanya ziara maalum leo kutembelea maendeleo mbali mbali ikiwemo Miradi ya maendeleo, [Picha na Ikulu.] 12 /08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) alipokuwa akitoa maelekezo wakati alipotembelea Shamba la Mikarafuu la Bwana Haruna Abuu Mbarouk (hayupo pichani) katika Kijiji cha Donge Pwani Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja alipofanya ziara maalum leo kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo,(kulia) Nd,Mbariouk Amour Mbarouk na (katikati) Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamad Rashid Mohamed,[Picha na Ikulu.] 12 /08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) alipokuwa akitoa maelekezo wakati alipotembelea Shamba la Mikarafuu la Bwana Haruna Abuu Mbarouk (hayupo pichani) katika Kijiji cha Donge Pwani Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja alipofanya ziara maalum leo kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo,(kulia) Nd,Mbariouk Amour Mbarouk na (katikati) Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamad Rashid Mohamed,[Picha na Ikulu.] 12 /08/2017.
Hivyo makala Rais Dk Shein ziarani Wilaya ya Kaskazini B Unguja
yaani makala yote Rais Dk Shein ziarani Wilaya ya Kaskazini B Unguja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein ziarani Wilaya ya Kaskazini B Unguja mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-dk-shein-ziarani-wilaya-ya.html
0 Response to "Rais Dk Shein ziarani Wilaya ya Kaskazini B Unguja"
Post a Comment