RAILA ODINGA BAADA YA KUSHINDWA URAIS KENYA SASA AWASHAWISHI WAFUASI WAKE WASIENDE KAZINI KESHO JUMATATU

RAILA ODINGA BAADA YA KUSHINDWA URAIS KENYA SASA AWASHAWISHI WAFUASI WAKE WASIENDE KAZINI KESHO JUMATATU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAILA ODINGA BAADA YA KUSHINDWA URAIS KENYA SASA AWASHAWISHI WAFUASI WAKE WASIENDE KAZINI KESHO JUMATATU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAILA ODINGA BAADA YA KUSHINDWA URAIS KENYA SASA AWASHAWISHI WAFUASI WAKE WASIENDE KAZINI KESHO JUMATATU
kiungo : RAILA ODINGA BAADA YA KUSHINDWA URAIS KENYA SASA AWASHAWISHI WAFUASI WAKE WASIENDE KAZINI KESHO JUMATATU

soma pia


RAILA ODINGA BAADA YA KUSHINDWA URAIS KENYA SASA AWASHAWISHI WAFUASI WAKE WASIENDE KAZINI KESHO JUMATATU


Kinara wa muungano upinzani nchini Kenya Raila Odinga, amewashauri wafuasi wake kususia kazi siku ya Jumatatu kama njia ya kupinga matokeo ya uchaguzi uliofanyikia Jumanne iliyopita.

Akihutubia wafuasi wake mtaani Kibera, Nairobi kwa mara ya kwanza kabisa tangu kutangazwa matokeo, ambapo Rais Uhuru Kenyatta alitangazwa mshindi, Bw Odinga amedai kuwa serikali ilikiwa imepanga kuwaua wafuasi wa upinzani kabla ya kutangazwa matokeo.

Hii ni siku moja baada wa watu kadha kuripotiwa kuuliwa maeneo tofauti ya mji wa Nairobi na Kisumu, wakati wafuasi wa upinzani walijitokeza kulalamikia matokeo ya uchaguzi Wafuasi wa upinzani wakiandana mtaa wa Mathare Nairobi 

Aidha Odinga amesema kuwa siku ya Jumanne, mrengo wa Nasa utatangaza mwelekeo ambao utachukua.

Rais Uhuru Kenyatta alitangzwa mashindi kwa kura 8,203,290 huku naye Raia Odinga akipata kura 6,762,224.

Katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan, ambaye alikuwa mpatanishi mkuu baada ya mzozo wa kisiasa nchini Kenya miaka kumi iliyopita, alikuwa ametoa wito kwa Bw Odinga kutumia mifumo ya kisheria kutafuta haki kuhusu matokeo ya uchaguzi wa urais. Polisi wa kupambana na ghasia mjini Kisumu 

Bw Annan alikuwa mpatanishi mkuu baada ya ghasia kuzuka baada ya uchaguzi mkuu wa 2007 uliokumbwa na utata.

"Namshukuru kiongozi wa upinzani Raila Odinga kwa kampeni ya uchaguzi ya amani aliyoiendesha. Amekuwa mtetezi jasiri wa demokrasia," amesema Dkt Annan kupitia taarifa.

"Kwa hivyo, namhimiza sasa afuatilie malalamiko yake kupitia mifumo ya kisheria iliyowekwa na aweke maslahi ya taifa mbele, kama alivyofanya kwa uzalendo mara nyingi awali."

Mwaka 2007, watu zaidi ya 1,000 walifariki na wengine 600,000 wakafurushwa makwao wakati wa ghasia za kikabila zilizozuka baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa.


Hivyo makala RAILA ODINGA BAADA YA KUSHINDWA URAIS KENYA SASA AWASHAWISHI WAFUASI WAKE WASIENDE KAZINI KESHO JUMATATU

yaani makala yote RAILA ODINGA BAADA YA KUSHINDWA URAIS KENYA SASA AWASHAWISHI WAFUASI WAKE WASIENDE KAZINI KESHO JUMATATU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAILA ODINGA BAADA YA KUSHINDWA URAIS KENYA SASA AWASHAWISHI WAFUASI WAKE WASIENDE KAZINI KESHO JUMATATU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/raila-odinga-baada-ya-kushindwa-urais.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAILA ODINGA BAADA YA KUSHINDWA URAIS KENYA SASA AWASHAWISHI WAFUASI WAKE WASIENDE KAZINI KESHO JUMATATU"

Post a Comment