PRISONS YAMALIZA KAMBI VISIWANI ZANZIBAR KWA KUSHINDA MICHEZO 4 NA SARE 1 DHIDI YA BLACK SAILORS

PRISONS YAMALIZA KAMBI VISIWANI ZANZIBAR KWA KUSHINDA MICHEZO 4 NA SARE 1 DHIDI YA BLACK SAILORS - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PRISONS YAMALIZA KAMBI VISIWANI ZANZIBAR KWA KUSHINDA MICHEZO 4 NA SARE 1 DHIDI YA BLACK SAILORS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PRISONS YAMALIZA KAMBI VISIWANI ZANZIBAR KWA KUSHINDA MICHEZO 4 NA SARE 1 DHIDI YA BLACK SAILORS
kiungo : PRISONS YAMALIZA KAMBI VISIWANI ZANZIBAR KWA KUSHINDA MICHEZO 4 NA SARE 1 DHIDI YA BLACK SAILORS

soma pia


PRISONS YAMALIZA KAMBI VISIWANI ZANZIBAR KWA KUSHINDA MICHEZO 4 NA SARE 1 DHIDI YA BLACK SAILORS



Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Timu ya Tanzania Prisons ambayo imeweka kambi visiwani Zanzibar imemaliza michezo yake ya kutest mitambo baada ya kuifumua Mlandege kwa mabao 4-1 kwenye mchezo uliopigwa jana saa 2 za usiku katika uwanja wa Amaan.

Mabao ya Prisons yamefungwa na Lambati Sabiyanka dakika ya 8 na 40, Leunsi Mutalema dakika ya 62 na Eliuti Mpepo dakika ya 84 huku bao pekee la Mlandege likifungwa na Abubakar Ame “Luiz” dakika ya 54.

Prisons iliweka Kambi Visiwani hapa tangu Jumamosi ya Agost 12, 2017 ambapo ilicheza michezo ya kirafiki 5 na kushinda michezo 4 huku mchezo 1 wakitoka sare na Black Sailors ambapo walizifunga timu ya Mlandege, Ngome, KMKM na Dula Boys.

Leo watasafiri na majira ya saa 3 asubuhi kwa kurudi Dar es salaam huku wakiwashukuru wapenz wote wa mpira hapa zanzibar na kushukuru uongozi wa ZFA kwa kuwatafutia timu ambazo zimewapa mazoezi makubwa.

Prisons ambayo inafundishwa na kocha Mzanzibar Abdallah Mohd “Bares” iliweka kambi visiwani hapa kwa kujiandaa na ligi kuu soka ya Tanzania bara msimu mpya ambapo mchezo wao wa kwanza wa ligi hiyo watacheza Jumamosi Agost 26, 2017 dhidi ya timu mpya iliyopanda daraja ya Njombe Mji.


Hivyo makala PRISONS YAMALIZA KAMBI VISIWANI ZANZIBAR KWA KUSHINDA MICHEZO 4 NA SARE 1 DHIDI YA BLACK SAILORS

yaani makala yote PRISONS YAMALIZA KAMBI VISIWANI ZANZIBAR KWA KUSHINDA MICHEZO 4 NA SARE 1 DHIDI YA BLACK SAILORS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PRISONS YAMALIZA KAMBI VISIWANI ZANZIBAR KWA KUSHINDA MICHEZO 4 NA SARE 1 DHIDI YA BLACK SAILORS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/prisons-yamaliza-kambi-visiwani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PRISONS YAMALIZA KAMBI VISIWANI ZANZIBAR KWA KUSHINDA MICHEZO 4 NA SARE 1 DHIDI YA BLACK SAILORS"

Post a Comment