Picha: Watu 600 wapotea katika mafuriko Sierra Leone

Picha: Watu 600 wapotea katika mafuriko Sierra Leone - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Picha: Watu 600 wapotea katika mafuriko Sierra Leone, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Picha: Watu 600 wapotea katika mafuriko Sierra Leone
kiungo : Picha: Watu 600 wapotea katika mafuriko Sierra Leone

soma pia


Picha: Watu 600 wapotea katika mafuriko Sierra Leone

Watu takribani 600 wanadaiwa kutoweka nchini Sierra Leone katika maporomoko ya matope na mafuriko yaliyotokea mapema Jumatatu hii.
Msemaji wa Rais wan chi hiyo Ernest Bai Koroma, Abdulai Baraytay ameliambia shirika la habari la BBC watu wengi wametoweka ikiwa ni takribani watu 600 katika maafa hayo yaliysababisha uharibifu mkubwa katika maeneo kadhaa ya mji mkuu wa Freetown.
“Wapendwa wengine wametoweka, takriban zaidi ya watu 600,” amesema msemaj huyo.
Wakati huo huo msamaji wa Umoja wa Mataifa, Stephane Dujarric amesema umoja huo unaweka mikakati ya kuzuia magonjwa ya mlipuko ambayo yanaweza kusababishwa na mafuriko hayo.


Hivyo makala Picha: Watu 600 wapotea katika mafuriko Sierra Leone

yaani makala yote Picha: Watu 600 wapotea katika mafuriko Sierra Leone Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Picha: Watu 600 wapotea katika mafuriko Sierra Leone mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/picha-watu-600-wapotea-katika-mafuriko.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Picha: Watu 600 wapotea katika mafuriko Sierra Leone"

Post a Comment