Ngoma Africa Band Kutumbuiza mjini Bremen,Ujerumani Jumamosi Septmba 9 mwaka huu.

Ngoma Africa Band Kutumbuiza mjini Bremen,Ujerumani Jumamosi Septmba 9 mwaka huu. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ngoma Africa Band Kutumbuiza mjini Bremen,Ujerumani Jumamosi Septmba 9 mwaka huu., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ngoma Africa Band Kutumbuiza mjini Bremen,Ujerumani Jumamosi Septmba 9 mwaka huu.
kiungo : Ngoma Africa Band Kutumbuiza mjini Bremen,Ujerumani Jumamosi Septmba 9 mwaka huu.

soma pia


Ngoma Africa Band Kutumbuiza mjini Bremen,Ujerumani Jumamosi Septmba 9 mwaka huu.

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band" aka FFU-Ughaibuni yenye maskani nchini ujerumani,inatarajiwa kulitingisha jiji la Bremen siku ya jumamosi 9.09.2017.

Katika ukumbi wa Wisserterasse kuanzia saa mbili usiku,bendi hiyo iliyojijengea umaarufu katika kila kona kwa tabia zake za kuwadatisha akili washabiki wake katika majukwaa ya kimataifa kwa kutumia mdundo wake "Extraordinary Bongo Dansi" ndio bendi pekee ya kigeni barani ulaya inayodumu katika tasnia ya muziki kwa muda mrefu barani ulaya tangu kuanzishwa kwake mwaka 1993 na kiongozi wake mwanamuziki Kamanda Ras Makunja wa himaya yake ya viumbe wa ajabu "Anunnaki Aliens" usikose kuwasikiliza at www.ngoma-africa.com au wape hai at http://ift.tt/2vs9pEand.


Hivyo makala Ngoma Africa Band Kutumbuiza mjini Bremen,Ujerumani Jumamosi Septmba 9 mwaka huu.

yaani makala yote Ngoma Africa Band Kutumbuiza mjini Bremen,Ujerumani Jumamosi Septmba 9 mwaka huu. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ngoma Africa Band Kutumbuiza mjini Bremen,Ujerumani Jumamosi Septmba 9 mwaka huu. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/ngoma-africa-band-kutumbuiza-mjini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ngoma Africa Band Kutumbuiza mjini Bremen,Ujerumani Jumamosi Septmba 9 mwaka huu."

Post a Comment