NAIBU WAZIRI MPINA AKUTANA NA KAMATI YA ARDHI NA MAWASILIANO YA BARAZA LA WAWAKILISHI KUTOKA ZANZIBAR

NAIBU WAZIRI MPINA AKUTANA NA KAMATI YA ARDHI NA MAWASILIANO YA BARAZA LA WAWAKILISHI KUTOKA ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI MPINA AKUTANA NA KAMATI YA ARDHI NA MAWASILIANO YA BARAZA LA WAWAKILISHI KUTOKA ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI MPINA AKUTANA NA KAMATI YA ARDHI NA MAWASILIANO YA BARAZA LA WAWAKILISHI KUTOKA ZANZIBAR
kiungo : NAIBU WAZIRI MPINA AKUTANA NA KAMATI YA ARDHI NA MAWASILIANO YA BARAZA LA WAWAKILISHI KUTOKA ZANZIBAR

soma pia


NAIBU WAZIRI MPINA AKUTANA NA KAMATI YA ARDHI NA MAWASILIANO YA BARAZA LA WAWAKILISHI KUTOKA ZANZIBAR

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Luhaga Mpina akiongea wakati wa ziara ya Kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi kutoka Zanzibar, iliyomtembelea Ofisini kwake jijini Dar Es Salaam wa kwanza kulia nia Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mh. Hamza Hassan Juma na wa kwanza kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati.
Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi kutoka Zanzibar wakimsilikiza Naibu  Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Luhaga Mpina(hayupo pichani) wakati wa ziara yao Ofisini kwa Waziri huyo.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Luhaga Mpina akisiliza kwa makini hoja zilizokua zikitolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mh. Hamza Hassan Juma(kulia) wakati wa ziara hiyo.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Luhaga Mpina akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi kutoka Zanzibar, iliyomtembelea Ofisini kwake jijini Dar Es Salaam



Hivyo makala NAIBU WAZIRI MPINA AKUTANA NA KAMATI YA ARDHI NA MAWASILIANO YA BARAZA LA WAWAKILISHI KUTOKA ZANZIBAR

yaani makala yote NAIBU WAZIRI MPINA AKUTANA NA KAMATI YA ARDHI NA MAWASILIANO YA BARAZA LA WAWAKILISHI KUTOKA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI MPINA AKUTANA NA KAMATI YA ARDHI NA MAWASILIANO YA BARAZA LA WAWAKILISHI KUTOKA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/naibu-waziri-mpina-akutana-na-kamati-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI MPINA AKUTANA NA KAMATI YA ARDHI NA MAWASILIANO YA BARAZA LA WAWAKILISHI KUTOKA ZANZIBAR"

Post a Comment