Muamuzi na Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Jeshi na Kikwajuni Zanzibar Marehemu Ahmed Awadh Marungu Afariki Dunia. Ni Pigo Kwa ZFA na Wapenzi wa Soka Zenj

Muamuzi na Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Jeshi na Kikwajuni Zanzibar Marehemu Ahmed Awadh Marungu Afariki Dunia. Ni Pigo Kwa ZFA na Wapenzi wa Soka Zenj - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Muamuzi na Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Jeshi na Kikwajuni Zanzibar Marehemu Ahmed Awadh Marungu Afariki Dunia. Ni Pigo Kwa ZFA na Wapenzi wa Soka Zenj, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Muamuzi na Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Jeshi na Kikwajuni Zanzibar Marehemu Ahmed Awadh Marungu Afariki Dunia. Ni Pigo Kwa ZFA na Wapenzi wa Soka Zenj
kiungo : Muamuzi na Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Jeshi na Kikwajuni Zanzibar Marehemu Ahmed Awadh Marungu Afariki Dunia. Ni Pigo Kwa ZFA na Wapenzi wa Soka Zenj

soma pia


Muamuzi na Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Jeshi na Kikwajuni Zanzibar Marehemu Ahmed Awadh Marungu Afariki Dunia. Ni Pigo Kwa ZFA na Wapenzi wa Soka Zenj

Na: Abubakar Khatib Kisandu., Zanzibar.
Muamuzi mstaafu wa Kimataifa Ahmed Mohd Awadh (Mzee Marungu) amefariki dunia leo Jumanne Agost 22, 2017 ambapo Maziko yatafanyika nyumbani kwake Shangani na kuzikwa leo saa 7 mchana Mwanakwerekwe.

Mbali ya kuwahi kuwa muamuzi wa kimataifa pia marehemu alikuwa Kamisaa wa ligi za Zanzibar.

Juzi wapenzi wa soka Visiwani Zanzibar walipata pigo jengine kufutia kuondokewa na Dokta wa zamani wa timu ya Taifa ya Zanzibar “Zanzibar Heroes” Dokta Abdallah Said Mohammed “ Dokta Kuku” aliyefariki dunia Agosti 20, 2017 nyumbani kwake Muembetanga mjini Zanzibar na kuzikwa jana Agost 21, 2017 kijijini kwao Fujoni Wilaya ya Kaskazini ‘B’ Unguja.

Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema Peponi Amiin.

Innalilah Waina Rajun.


Hivyo makala Muamuzi na Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Jeshi na Kikwajuni Zanzibar Marehemu Ahmed Awadh Marungu Afariki Dunia. Ni Pigo Kwa ZFA na Wapenzi wa Soka Zenj

yaani makala yote Muamuzi na Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Jeshi na Kikwajuni Zanzibar Marehemu Ahmed Awadh Marungu Afariki Dunia. Ni Pigo Kwa ZFA na Wapenzi wa Soka Zenj Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Muamuzi na Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Jeshi na Kikwajuni Zanzibar Marehemu Ahmed Awadh Marungu Afariki Dunia. Ni Pigo Kwa ZFA na Wapenzi wa Soka Zenj mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/muamuzi-na-mchezaji-wa-zamani-wa-timu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Muamuzi na Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Jeshi na Kikwajuni Zanzibar Marehemu Ahmed Awadh Marungu Afariki Dunia. Ni Pigo Kwa ZFA na Wapenzi wa Soka Zenj"

Post a Comment