title : MTANZANIA ALPHONCE SIMBU ASHIKA NAFASI YA TATU MBIO ZA DUNIA MCHANA HUU
kiungo : MTANZANIA ALPHONCE SIMBU ASHIKA NAFASI YA TATU MBIO ZA DUNIA MCHANA HUU
MTANZANIA ALPHONCE SIMBU ASHIKA NAFASI YA TATU MBIO ZA DUNIA MCHANA HUU
MTANZANIA Alphonce Felix Simbu amefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mbio za dunia za IAAF zinazoendelea kufanyika nchini Uingereza katika Jiji la London.
Simbu ameshika nafasi ya tatu nyuma ya Mkenya aliyeshika nafasi ya kwanza akifuatiw ana Muethiopia aliyeshika nafasi ya pili.
Akitumia masaa 2 na dakika 10 Simbu aliweza kushiuka nafasi ya tatu baada ya kumpita Mkenya mwingine aliyejua kushika nafasi ya tano.
Hii inakuwa ni kwa mara ya kwanza kwa Simbu kushika nafasi ya tatu baaada ya mwaka jana katika mbio ndefu za London Marathonaliweza kushika nafasi ya tano.
Hivyo makala MTANZANIA ALPHONCE SIMBU ASHIKA NAFASI YA TATU MBIO ZA DUNIA MCHANA HUU
yaani makala yote MTANZANIA ALPHONCE SIMBU ASHIKA NAFASI YA TATU MBIO ZA DUNIA MCHANA HUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MTANZANIA ALPHONCE SIMBU ASHIKA NAFASI YA TATU MBIO ZA DUNIA MCHANA HUU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mtanzania-alphonce-simbu-ashika-nafasi.html
0 Response to "MTANZANIA ALPHONCE SIMBU ASHIKA NAFASI YA TATU MBIO ZA DUNIA MCHANA HUU"
Post a Comment