Msimamo wa CLOUDS MEDIA baada ya Makonda Kugomba Kuomba Radhi

Msimamo wa CLOUDS MEDIA baada ya Makonda Kugomba Kuomba Radhi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Msimamo wa CLOUDS MEDIA baada ya Makonda Kugomba Kuomba Radhi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Msimamo wa CLOUDS MEDIA baada ya Makonda Kugomba Kuomba Radhi
kiungo : Msimamo wa CLOUDS MEDIA baada ya Makonda Kugomba Kuomba Radhi

soma pia


Msimamo wa CLOUDS MEDIA baada ya Makonda Kugomba Kuomba Radhi

Leo  ulifanyika mkutano na Waandishi wa habari ukimuhusisha Mkurugenzi wa vipindi Clouds Media Ruge Mutahaba, RC wa Dar es Salaam  Paul Makonda na Jukwaa la Wahariri kuhusu swala la kufungiwa kwa habari za Mkuu wa mkoa Paul Makonda.

Baada ya mkutano huo na mengine yaliyojadiliwa na kauli zilizotolewa ikiwemo ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kusema hawezi kuomba radhi, Ruge Mutahaba amehojiwa na vyombo vya habari baada tu ya mkutano huo kuisha na kueleza msimamo wa CLOUDS.

“Baada ya jambo la leo msimamo wa CLOUDS MEDIA GROUP ni uleule tuliokua nao toka siku ya jumamosi baada ya kupatanishwa na Mh. Rais, siku ile alivyotupatanisha sisi kama Watanzania hatukua na budi zaidi ya kukubali na kurudi kwenye uhusiano wa kiuweledi.

“Leo tuliitwa kwenye kikao kwa kutegemea labda kungekua kuna kingine cha ziada lakini…………………………” Amesema Ruge


Hivyo makala Msimamo wa CLOUDS MEDIA baada ya Makonda Kugomba Kuomba Radhi

yaani makala yote Msimamo wa CLOUDS MEDIA baada ya Makonda Kugomba Kuomba Radhi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Msimamo wa CLOUDS MEDIA baada ya Makonda Kugomba Kuomba Radhi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/msimamo-wa-clouds-media-baada-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Msimamo wa CLOUDS MEDIA baada ya Makonda Kugomba Kuomba Radhi"

Post a Comment