MPAMBANO WA SIMBA NA YANGA MILANGO BADO MIGUMU HADISASA DAKIKA 45 ZA KWA ZIMEMALIZIKA BILA BAO

MPAMBANO WA SIMBA NA YANGA MILANGO BADO MIGUMU HADISASA DAKIKA 45 ZA KWA ZIMEMALIZIKA BILA BAO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MPAMBANO WA SIMBA NA YANGA MILANGO BADO MIGUMU HADISASA DAKIKA 45 ZA KWA ZIMEMALIZIKA BILA BAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MPAMBANO WA SIMBA NA YANGA MILANGO BADO MIGUMU HADISASA DAKIKA 45 ZA KWA ZIMEMALIZIKA BILA BAO
kiungo : MPAMBANO WA SIMBA NA YANGA MILANGO BADO MIGUMU HADISASA DAKIKA 45 ZA KWA ZIMEMALIZIKA BILA BAO

soma pia


MPAMBANO WA SIMBA NA YANGA MILANGO BADO MIGUMU HADISASA DAKIKA 45 ZA KWA ZIMEMALIZIKA BILA BAO


Mwambawahabari
Dk 33, Mavugo anageuka vizuri na kuachia mkwaju mkali hapa lakini Yondani anafanya kazi ya ziada
Dk 32, Simba wanapata kona ya kwanza baada ya kufanya shambulizi, inachongwa hapa na Niyonzima lakini Yanga wanaokoa vizuri hapa
KADI Dk 31 kadi ya kwanza ya njano inatoka, MWanjale anafanya upuuzi kwa kupiga mpira chini kwa nguvu wakati filimbi ilishapulizwa.
Dk 29 sasa, kidogo presha ya mchezo imehamia tena katikati kila timu ikionekana kutulia na kutaka kujipanga
Dk 27, Yondani anamdhibiti Mavugo hapa, analazimika kufanya faulo, inapigwa kwenda Simba
Dk 24, Martin anaachia mkwaju mkali hapa akipokea pasi ya Kamusoko, lakini hakulenga lango
Dk 23 Kipa Rostand, anafanya kazi nzuri kwa kudaka mpira wa juu wa krosi wa Nyoni
Dk 22, Ngoma anaingia vizuri kabisa lakini Mwanjale anafanya kazi ya ziada kuokoa
Dk 22 sasa, Yanga wanaonekana kujilinda zaidi huku Simba wakiwa wameshambulia zaidi lakini ukiangalia difensi ya Simba inaonekana kuachia nafasi ambazo Yanga wakiwa makini wanaweza kuzitumia hasa kwa pasi za kupitisha
Dk 20, Okwi anaingia tena, anaachia mkwaju hapa lakini Yondani anaiokoa vizuri kabisa
Dk 18, Niyonzima aanaingia na kuchambua vizuri, lakini basi aliyompa Muzamiru anapaisha buuuuu.
Dk 16, Simba wanatangeneza nafasi nzuri zaidi, krosi ya Nyoni, Dante anaonekana kuzubaa na Mavugo anapiga kichwa lakini hakulenga
Dk 15 sasa, mpira zaidi unachezwa katikati ya uwanja na hakuna shambulizi kali
Dk 10, Niyonzima anachambua msitu, lakini Ngoma anasema hapana anamuweka chini hapa, faulo
Dk 9, Manula anamuwahi Ngoma na kuutoa mpira nje unakuwa wa kurusha
Dakika ya 9: Simba wanakuwa wazito kufanya maamuzi, Yanga wanafika langoni mara kadhaa.
Dakika ya 8: Yanga wanamiliki mpira na kutengeneza njia za kufunga lakini wanashindwa kutumia nafasi.
Dakika ya 6: Simba wanafika langoni mwa Yanga.
Dakika ya 5: Yanga wanapata kona lakini wanashindwa kuitumia vizuri.
Dakika ya 4: Ibrahimu Ajibu anachezewa faulo na beki wa Simba, Mbonde nje ya eneo la 18 wakati akielekea golini. Inakuwa faulo/
Dakika ya 2: Simba wanamiliki mpira muda mwingi, wanapiga pasi nyingi eneo lao.
Shangwe ni nyingi kutoka pande zote, idadi ya mashabiki ni kubwa.
DK 1: Mchezo umeanza.

Yanga ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu uliopita, wapo uwanjani kukipiga dhidi ya Simba ambao ni mabingwa wa Kombe la FA katika mchezo wa Ngao ya Jami kuukaribisha msimu wa 2017/18.
Kikosi cha Simba kinachoanza leo
1. Aishi Manula
2. Ally Shomari
3. Erasto Nyoni
4. Salim Mbonde
5. Method Mwanjale
6. James Kotei
7. Shiza Kichuya
8. Mzamiru Yassin
9. Laudit Mavugo
10. Emanuel Okwi
11. Haruna Niyonzima
WALIOPO BENCHI
1. E. Mseja
2. M. Tshabalala
3. Juuko M
4. J. Mkude
5. M.Kazimoto
6. J Luizio
7.MO Ibrahim
Kikosi cha Yanga
1.Rostand Youthe
2. Juma Abdul
3. Gadiel Michael
4. Andrew Vicent
5. Kelvin Yondani
6. Papy Tshishimbi
7. Raphael Daud
7. Thaban Kamusoko
9. Ibrahim Ajibu
10. Donald Ngoma
11. Emmanuel Martin
WALIOPO BENCHI
Ramadhani Kabwili, Hassan Kessy, Haji Abdallah, Mwinyi Haji, Juma Makapu, Yusuph Mhilu, Juma Mahadhi.


Hivyo makala MPAMBANO WA SIMBA NA YANGA MILANGO BADO MIGUMU HADISASA DAKIKA 45 ZA KWA ZIMEMALIZIKA BILA BAO

yaani makala yote MPAMBANO WA SIMBA NA YANGA MILANGO BADO MIGUMU HADISASA DAKIKA 45 ZA KWA ZIMEMALIZIKA BILA BAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MPAMBANO WA SIMBA NA YANGA MILANGO BADO MIGUMU HADISASA DAKIKA 45 ZA KWA ZIMEMALIZIKA BILA BAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mpambano-wa-simba-na-yanga-milango-bado.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MPAMBANO WA SIMBA NA YANGA MILANGO BADO MIGUMU HADISASA DAKIKA 45 ZA KWA ZIMEMALIZIKA BILA BAO"

Post a Comment