title : MHE PAUL MAKONDA AKUTANA NA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM LAZARO MAMBOSASA
kiungo : MHE PAUL MAKONDA AKUTANA NA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM LAZARO MAMBOSASA
MHE PAUL MAKONDA AKUTANA NA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM LAZARO MAMBOSASA
Mwambawahabari
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda leo amefanya Mazungumzo na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP_ Lazaro Mambosasa aliekuja kuripoti kwa Mkuu wa Mkoa baada ya kuteuliwa hivi karibuni na IGP Simon Sirro.
Katika Mazungumzo hayo wamejadili hali ya Usalama Jijini Dar es Salaam na namna ya kuendeleza yale ambayo yaliachwa na IGP Simon Sirro wakati akiwa Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.
Hivyo makala MHE PAUL MAKONDA AKUTANA NA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM LAZARO MAMBOSASA
yaani makala yote MHE PAUL MAKONDA AKUTANA NA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM LAZARO MAMBOSASA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MHE PAUL MAKONDA AKUTANA NA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM LAZARO MAMBOSASA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mhe-paul-makonda-akutana-na-kamanda-wa.html
0 Response to "MHE PAUL MAKONDA AKUTANA NA KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM LAZARO MAMBOSASA"
Post a Comment