title : MAZUNGUMZO YA PAMOJA SERIKALI YA MUUNGANO NA MISRI
kiungo : MAZUNGUMZO YA PAMOJA SERIKALI YA MUUNGANO NA MISRI
MAZUNGUMZO YA PAMOJA SERIKALI YA MUUNGANO NA MISRI
Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi katikati na Ujumbe aliofuatana nao wakiwa katika mazungumzo na Viongozi was Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiongozwa na Rais Dkt.John Pombe magufuli leo alipokuwa katika ziara ya siku mbili mazungumzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu ya Jijini Dar es Salaam
Mazungumzo ya Viongozi baina ya Ujumbe wa Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi (kulia) na Viongozi wa Serikali ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam,Rais Abdel Sisi na Ujumbe wake wakiwa nchini kwa ziara ya siku mbili, [Picha na Ikulu).14/08/2017.
Hivyo makala MAZUNGUMZO YA PAMOJA SERIKALI YA MUUNGANO NA MISRI
yaani makala yote MAZUNGUMZO YA PAMOJA SERIKALI YA MUUNGANO NA MISRI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAZUNGUMZO YA PAMOJA SERIKALI YA MUUNGANO NA MISRI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mazungumzo-ya-pamoja-serikali-ya.html
0 Response to "MAZUNGUMZO YA PAMOJA SERIKALI YA MUUNGANO NA MISRI"
Post a Comment